Mwenye ujuzi wa uuzaji wa nondo naombeni details

Mwenye ujuzi wa uuzaji wa nondo naombeni details

jbngowi

Member
Joined
Oct 17, 2014
Posts
11
Reaction score
2
Nondo gani nchi ngapi ndo zinahitajiaka sana katika ujenzi wa nyumba hizi Za kawaida ? Pia ni Za kampuni gani ndo wana unaza kwa bei nafika zaidi apa dar es salaam
 
I mean mwenye uzohefu wa kuuza nondo anipe details ya biashara hiyo
 
Nondo gani nchi ngapi ndo zinahitajiaka sana katika ujenzi wa nyumba hizi Za kawaida ? Pia ni Za kampuni gani ndo wana unaza kwa bei nafika zaidi apa dar es salaam
Kipimo cha inch kinatumika kwenye mbao, kwenye nondo inatumika diameter ikiwa ktk millimeter. Kwa nyumba za kawaida, nondo zinazotumika sana ni 12mm
 
Back
Top Bottom