Kipimo cha inch kinatumika kwenye mbao, kwenye nondo inatumika diameter ikiwa ktk millimeter. Kwa nyumba za kawaida, nondo zinazotumika sana ni 12mmNondo gani nchi ngapi ndo zinahitajiaka sana katika ujenzi wa nyumba hizi Za kawaida ? Pia ni Za kampuni gani ndo wana unaza kwa bei nafika zaidi apa dar es salaam