Mwenye ukurasa wa ELON MASK anisaidie

Mwenye ukurasa wa ELON MASK anisaidie

Mwenyewe ukurasa wowote wa mtandao wa kijamii wa nguri wa Dunia wa utajiri namba 1 wa huyu mwamba anisaidie. Kuna vitu vya kujifunza kwa huyu jamaa asanteni.
mcheki twitter na post zake. Jamaa kaifanya twitter ikose adverts sasa hivi anawashitaki kuwa wale waliokuwa wanatangaza biashara twitter wameungana kutotangaza kwake so anataka walipe fidia.
 
Huyu hapa, ana followers karibu milion 200


1724396439971.png
 
Back
Top Bottom