Hiyo sentensi ya mwisho vyote ni taasisi za siasa?Mwaka huu Watanzania hawataki kusikia habari za stigler goji wala ndege wala SGR wala flyover.
Wanataka kusikia habari za coronavirus, CHADEMA, ACT-Wazalendo na Tume Huru.
Ukisikia usije ukasema taarifa za uongo maana nyie BAVICHA hamtaki kusikia ukweli hasa wa miradi mikubwa. Ni suala la muda kabla ya kuukimbia uzi wako
kabaki pole pole na porojo zake et upinzani sawa na corona mshamba kweli yule hivi ana akili timamu kweli amuoni mwezie nape sasa limemshuka anashinda vijiweni huko mtama akiwaomba vijana wampe tena kura na sijui kama atarudi tena
Hilo ndilo lengo langu, kama una habari ya SGR Dar to Moro kuanza nijulishe nikakate tiketi.Ukisikia usije ukasema taarifa za uongo maana nyie BAVICHA hamtaki kusikia ukweli hasa wa miradi mikubwa. Ni suala la muda kabla ya kuukimbia uzi wako
Mjibu mleta uzi, anataka kujua, lile bomba lenu la mafuta kutoka Uganda limefikia wapi?Ukisikia usije ukasema taarifa za uongo maana nyie BAVICHA hamtaki kusikia ukweli hasa wa miradi mikubwa. Ni suala la muda kabla ya kuukimbia uzi wako
Watu wametoka Magogoni hadi ugogoni kuikimbia kolona vailas nasi dua zetu ziko palepaleMwaka huu Watanzania hawataki kusikia habari za stigler goji wala ndege wala SGR wala flyover.
Wanataka kusikia habari za coronavirus, CHADEMA, ACT-Wazalendo na Tume Huru.
Mkuu hebu jibu swali, mleta mada anataka kujua, wewe kuuliza ishu za Ufipa sidhani kama ndiyo umejibu swali
Jikite kwenye hoja.
Nimemjibu mkuuMkuu ebu jibu swali, mleta mada anataka kujua, wewe kuuliza ishu za ufipa sizani kama ndiyo umejibu swali
Sent using Jamii Forums mobile app
....
Tanzania ya viwanda imefikia wapi, juzi tuliambiwa tuna viwanda vikubwa, vya kati, vidogo na vidogo sana, sijui hivyo vidogo sana ni vya wachoma mahindi?
Tulishaambiwa kuwa ukiwa na vyerahani 4 ni kiwanda hicho na wewe ni mwekezaji
In God we Trust