2hery
JF-Expert Member
- May 27, 2011
- 4,700
- 4,625
Kukaa karibu na Mlonganzila sio sababu ya kupata Corona au kujikinga nayo..Hakuna mradi ambao ujenzi umesimama.miradi haijakamilika lakini ujenzi unaendelea. Niko mita 100 eneo la mradi SGR.ni suala la muda tu.kila kitu kitakamilika. Na nyinyi mjenge makao makuu ya chama..tutawachangia kama tulivyowachangia viongozi wenu wakiwa mahabusu.
Sent using Jamii Forums mobile app