Mwenye Updates za Stiegler's Gorge, SGR na bomba la Hoima atupatie. Mbona kama mbwembwe zimepungua? Tunakwama wapi?

Mwenye Updates za Stiegler's Gorge, SGR na bomba la Hoima atupatie. Mbona kama mbwembwe zimepungua? Tunakwama wapi?

Zile mbwembwe za Ufipa za kufanya mikutano ya hadhara nchi nzima kuanzia tarehe nne Aprili mbona nazo zimezimika ghafla; vipi tena?
 
tindo,
Nimeandika kuua soo ipi? Mimi nimekupa data za jikoni ambazo huwezi kuzisikia isipokua kutoka kwa mtu alie jikoni.

Mradi wa Stiglers Gorge utakamilika kwa wakati iwapo hakutakua na majanga ya asili kama mvua, mvua menyesha sana hadi kujaza mtuo ruvu, diversion tunnel ilikua iko over 60% bahati mbaya maji yamejaa kabla haijakamilika, ili kutokuharibu vifaa inabidi isitishwe hadi maji yapungue.

SGR ya Dar Moro ilikua ikamilike mwaka jana ila sababu ya mvua. Nimesema kama hakutakua na changamotoza asili SGR ya Moro hadi December itakua inafanya kazi.

SGR ya Moro-Dom iko zaidi ya 30%. Hili wala halihitaji siasa.
 
BTW Tanzania tulikuwa tunajulikana tuna 3000km of tarmark roads countrywide. Je, unafahamu sasa hivi tunazo ngapi?

Hizi ama?

1584887090913.png

1584887154554.png

Barabara nyingi zilizojengwa chini ya jamaa kama waziri na rais, zipo chini ya kiwango sana. Ni potholes kwenda mbele na minyongoloto kwenye maeneo yenye miinuko.
 
Hao ni wanaccm wa tawi lipi hapa nchini wakitekeleza sera ya viwanda?
Hicho ni kiwanda cha nguo barani Asia.
Kwa Tanzania kiwanda ni mpaka kuwe na jengo kubwa lakini kiuhalisia hata cherehani nne ni kiwanda kidogo.
Tunachoangalia ni 'processing' ya 'raw materials' kutengeneza 'finished product'.
Pia tunaangalia ajira zinazotengenezwa.
Kwenye uzalishaji wa nguo kuna MTU was 'over lock' ya suruali, magauni au mashati.
Kuna mtu wa vifungo, kuna mtu wa kudarizi, kuna mtu wa kukata vitambaa na kudesign.
Cherehani NNE ni kiwanda.
 
M
Mbona Che Nkapa na JK walishindwa kununua hata ndege moja ihali walizikuta alizoacha Baba wa taifa karibu 10? Hilo hamlioni kwa sababu ya makengeza.
Mkapa na JK ni wanachama wa CUF, ACT au NCCR? Unataka kutuaminisha kuwa hao wastaafu nao walikuwa wanalazimika kuinunulia ATCL ndege? Ni kazi ya Rais kununua ndege,kujenga reli, madaraja, mabwawa ya umeme?
Naomba wajuzi wa mambo mnisaidie, hizi zote ni job description za rais? Mimi naona Mh. anajishusha chini na kufanya kazi za wizara.
 
Hilo ndilo lengo langu, kama una habari ya SGR Dar to Moro kuanza nijulishe nikakate tiketi.
Bomba la mafuta litaanza mwezi wa 8, mwezi wa tisa makampunj yataingia site na mwezi wa kumi ni uchaguzi hafu ucheck picha.
Hiyo ni miradi ya kimkakati mzee.

SGR dar to moro tutazindua mwezi wa tisa au wa kumi!
Mishahara tutaongeza mwezi wa tano
 
Ukisikia usije ukasema taarifa za uongo maana nyie BAVICHA hamtaki kusikia ukweli hasa wa miradi mikubwa. Ni suala la muda kabla ya kuukimbia uzi wako
Watz "wa mitandaoni" wa ajabu sana. Yapi Merkezi hutoa updates za SGRTz lots zote mbili kila mwezi kwa youtube. Pia TRC reli tv nao kila leo wana updates. Nyerere dam updates zake hutolewa na Tanesco yetu tv kule youtube.

Kisha kuna "mzalendo" anayetaka hizo info apelekewe kwa anwani yake ya posta anakuja na thread kama hii. Afrika kuna vituko vingi sana. Kuna mzungu aliandika kitabu: Vituko haviishi Afrika, kila siku kuna kituko kipya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ware wapiga zumari wa Raithi watakudja kukutusi Quinine,

Don't make a promise you can't fulfill...
 
Kwa habari ya SGR:

Ukipita Pale TRC stesheni kazi zote zimesimama, Kuna mataruma yametelekezwa chini ya hilo daraja wamelijenga tangu December hayajapandishwa mitambo yote imeondolewa

Taarifa ni kwamba Kampuni mshirika ya Motor Engil Africa ya Kireno imejitoa kwenye mradi[emoji2369]
Bwana Pascal Mayalla anasemaje juu ya hili??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli. Micro industry huajiri watu 4-25. Tatizo kama alivyosema Amunike, Afrika kila mmoja mjuaji. Kila mmoja anajua "industrial economics" na kila mmoja ni gwiji wa udhibiti wa corona na pia transportation analyst!
Tulishaambiwa kuwa ukiwa na vyerahani 4 ni kiwanda hicho na wewe ni mwekezaji. Quinine,

In God we Trust

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Ole
Watz "wa mitandaoni" wa ajabu sana. Yapi Merkezi hutoa updates za SGRTz lots zote mbili kila mwezi kwa youtube. Pia TRC reli tv nao kila leo wana updates. Nyerere dam updates zake hutolewa na Tanesco yetu tv kule youtube.

Kisha kuna "mzalendo" anayetaka hizo info apelekewe kwa anwani yake ya posta anakuja na thread kama hii. Afrika kuna vituko vingi sana. Kuna mzungu aliandika kitabu: Vituko haviishi Afrika, kila siku kuna kituko kipya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mlipokuwa mnasifia kila kitu kwa mbwembwe mitandaoni hamkujua Tanesco huwa wanatoa updates?
 
Quinine,
Kwa hiyo wewe unataka Nini hasa....unalalamika, unasikitika au unafurahia...au unaombea miradi hi mikubwa isifanikiwe?? Unataka Nini hasa?
 
Kwa hiyo wewe unataka Nini hasa....unalalamika, unasikitika au unafurahia...au unaombea miradi hi mikubwa isifanikiwe?? Unataka Nini hasa?
UPDATES.
 
Wewe nawe unawasikiliza hao wajinga? Hakuna kitu ni mbwembwe za kutuona sisi wajinga wakati tunaelewa wao ndio wajinga.
Bahati mbaya mnawapotosha wajinga wenzenu. Taarifa zinatolewa mara kwa mara hamfuatilii, mnakuja humu kuropoka. Pumbavu!
 
Utasikia covid19 amechangia kukwamisha hiyo miradi,wanasiasa ni nyoko mkuu
 
Nimeandika kuua soo ipi? Mimi nimekupa data za jikoni ambazo huwezi kuzisikia isipokua kutoka kwa mtu alie jikoni.

Mradi wa Stiglers Gorge utakamilika kwa wakati iwapo hakutakua na majanga ya asili kama mvua, mvua menyesha sana hadi kujaza mtuo ruvu, diversion tunnel ilikua iko over 60% bahati mbaya maji yamejaa kabla haijakamilika, ili kutokuharibu vifaa inabidi isitishwe hadi maji yapungue.

SGR ya Dar Moro ilikua ikamilike mwaka jana ila sababu ya mvua. Nimesema kama hakutakua na changamotoza asili SGR ya Moro hadi December itakua inafanya kazi.

SGR ya Moro-Dom iko zaidi ya 30%. Hili wala halihitaji siasa.

Sikatai kuwa majanga ya asili kwenye hiyo miradi ni lazima yapunguze kasi ya ujenzi, lakini mimi nakuambia tatizo la fedha ndio litakwamisha haya unayoongea zaidi kuliko hayo majanga ya asili. Kutaja asilimia ya miradi ilipofikia mimi kama mimi sina imani sana na utaratibu huo, kwani serikali hii imekithiri kwa upikaji wa taarifa ili kuhadaa umma kuwa mambo yako vizuri.
 
Back
Top Bottom