Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Michaelmakene Mtanzania yeyote makini anawachukulia ninyi kama watu wasiojua kinachoendelea nchini. Umeshindwa kuangalia Reli TV ukajua kinachoendelea? Siku treni ya kwanza ikianza kufanya kazi sijui mtasema nini..... chama tawala katika ubora wake hongera kujibu hoja huo ndio mwisho wa upeo wako
Basi endelea kusema hakuna kitu hakuna kitu. Time will tell. Kuna haja gani kubishana leo? Si hata 2015 kabla ya uchaguzi mlisema mtalipigia kura jiwe liingie madarakani lakini sio CCM. Leo ukiulizwa nani yuko madarakanj na 2020 nani ataingia tena madarakani, utabaki kuloloma tu!Nilipoanza kuona taarifa ya reli TV na taarifa za waziri zinapishana, nilijua huo ni uhuni kama uhuni mwingine. Kimsingi mimi nikiambiwa jambo naangalia na kusikiliza zaidi ya sehemu moja, nikiona tu taarifa zinatofautiana napuuza moja kwa moja hizo taarifa za jambo husika.
TRC wana account yao verified hapa jf, lakini ni nadra wao kutoa ufafanuzi husika pindi wanapokutana na maswali ya msingi. Huwa wanajibu baadhi lakini ni maswali yaliyowazi, I guess ni kama kuna watu wao wengine wanaojuana huuliza maswali mepesi, kisha hiyo verified account ndio inayajibu
Mara ya mwisho umeangalia Reli TV lini?
Michaelmakene Mtanzania yeyote makini anawachukulia ninyi kama watu wasiojua kinachoendelea nchini. Umeshindwa kuangalia Reli TV ukajua kinachoendelea? Siku treni ya kwanza ikianza kufanya kazi sijui mtasema nini.
Hivi Chadema watajenga lini jengo la makao makuu ya chama?Treni kufanya kazi hiyo sio issue, bali muda uliotarajiwa kuanza kazi Dar- moro ni nje ya muda. Hiyo Reli TV unayoisema si ndio hizo zenye taarifa za zamani? Unaweza kwenda huko Reli TV na kuishia kukutana na taarifa za miezi 7 iliyopita.
Hivi Chadema watajenga lini jengo la makao makuu ya chama?
Nakwepaje hoja? Reli inajengwa. Unaweza kwenda site kuhakiki. Mwl. Nyerere Hydro power inajengwa. Tembelea site kajiridhishe. Issue ni Chadema wanajenga lini ofisi? Si wanaweza "kuchukua" nchi mwaka huu? Ahahahahahahah!!!Ni kweli cdm kutokuwa na jengo la ofisi lenye hadhi yao ni jambo la aibu na kudharauliwa, ila mada hii haihusiani na jengo la cdm. Kwa jinsi unavyojifanya huwa unajua kujenga hoja, kisha naona unakwepa hoja za msingi na kuleta huu utetezi wa kichovu, sasa naamini ww na wanaccm wenzako pumzi imekata. Na zile propaganda mfu zenu, kwa sasa ukweli unaanza kujitenga na uongo. Awamu hii imefanikiwa sana kudhibiti vyombo vya habari ili weakness zisisemwe, na yenyewe iishie kuwalisha wananchi taarifa za kupika. Matokeo yake nyie watetezi wa ccm/serekali mkibanwa mnapoteana.
Hoima shida ni UG wanachelewesha ila ni project yakuombea ifanikiwe, SGR inatia matumaini kazi ni ngumu lkn wanapambana kukimbiza nayo nikazi bora, JNHEP inasemekana kazi inakwenda ilivyopangwa pengine ni project ya maana lkn kuhusu ndege nadhani mkulu alichemsha nasasa ATCL watasingizia corona kumbe ilebiashara ningumu nawao wameivamia kichwakichwa!! Serikali izidishe umakini inapotaka kuwekeza kodi zetu
Nakwepaje hoja? Reli inajengwa. Unaweza kwenda site kuhakiki. Mwl. Nyerere Hydro power inajengwa. Tembelea site kajiridhishe. Issue ni Chadema wanajenga lini ofisi? Si wanaweza "kuchukua" nchi mwaka huu? Ahahahahahahah!!!
Mamba hana uwezo wa kutambua rangi uono wake upo limited katika black and whiteMafuriko huko ni hatari njia za kuelekea huko katika hiyo Miradi Maji yamejaa Pomoni,mamba nao hawachezi mbali wakiona tu shati za kijani umeenda.
Wataalamu wao hawakuwashauri vizuri sasa kila kitu kimekwama.
Unapiga ramli acha ramli.Kikwete alikuwa na maelfu ya wafanyakazi hewa lakin midari mingi unayoiona ameanzisha yeye.Ameajiri watu wa kila aina shule kila kata.Huyu wa sasa anashindwa nini?Nchi hii Magufuli akifa mma samia akiwa rais utaona mambo ambayo tulidhani haiwezekaniki yanawezekanaBasi tu ni kwasababu huwezi kuonja sumu lakini hawa walitakiwa wapewe nchi ili tuone uongozi wao ulio tukuka utakuwaje sipati picha jinsi watakavyo boronga
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha porojo leta ushahidi usio na shaka kuwa Reli inajengwa,Bwawa linajengwa la sivyo mimi pia na kwambia Chadema tuko kwenye ujenzi wa Ghorofa 5 za makao makuu saiz tupo ghorofa ya 2 na baada ya miaka mi3 litakamilika.Nakwepaje hoja? Reli inajengwa. Unaweza kwenda site kuhakiki. Mwl. Nyerere Hydro power inajengwa. Tembelea site kajiridhishe. Issue ni Chadema wanajenga lini ofisi? Si wanaweza "kuchukua" nchi mwaka huu? Ahahahahahahah!!!
Basi tu ni kwasababu huwezi kuonja sumu lakini hawa walitakiwa wapewe nchi ili tuone uongozi wao ulio tukuka utakuwaje sipati picha jinsi watakavyo boronga
Sent using Jamii Forums mobile app
Muda ndio utasema, hivi sasa hospitali nyingi kuanzia ngazi ya wilaya zinafanya kazi kwa ufanisi zaidi na dawa pamoja na vifaa vinapatikana sasa hiyo ni asilimia ngapi kwa mawazo yako? Barabara nyingi ni za lami na zinaendelea kujengwa sijui ni asilimia ngapi kwa mawazo yako?
BTW Tanzania tulikuwa tunajulikana tuna 3000km of tarmark roads countrywide. Je, unafahamu sasa hivi tunazo ngapi?
Kawadanganye wajinga,Jakaya jaacha zaidi ya Km 13000 na leo utuambie barabara zilikuwa KM 3000.Muda ndio utasema, hivi sasa hospitali nyingi kuanzia ngazi ya wilaya zinafanya kazi kwa ufanisi zaidi na dawa pamoja na vifaa vinapatikana sasa hiyo ni asilimia ngapi kwa mawazo yako? Barabara nyingi ni za lami na zinaendelea kujengwa sijui ni asilimia ngapi kwa mawazo yako?
BTW Tanzania tulikuwa tunajulikana tuna 3000km of tarmark roads countrywide. Je, unafahamu sasa hivi tunazo ngapi?
Kawadanganye wajinga,Jakaya jaacha zaidi ya Km 13000 na leo utuambie barabara zilikuwa KM 3000.
Mengine unaweza kuwa umesema kweli lkn sio kwenye barabara
Sent using Jamii Forums mobile app