Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Basi endelea kusema hakuna kitu hakuna kitu. Time will tell. Kuna haja gani kubishana leo? Si hata 2015 kabla ya uchaguzi mlisema mtalipigia kura jiwe liingie madarakani lakini sio CCM. Leo ukiulizwa nani yuko madarakanj na 2020 nani ataingia tena madarakani, utabaki kuloloma tu!
Usitake kutoa hitimisho la upotoshaji. Sina popote niliposema hamna kitu, nilichosomea sifa zinazowekwa haziendani na ukweli halisi.
Hiyo ya kusema kuwa 2015 tulisema tutalipigia kura jiwe, ni mimi na nani? Kwani huyu aliyeko madarakani sasa aliingia madarakani kwa kura yangu? Hata hivyo hayo maneno unayosema ni yetu ni lazima yatokee kama walivyosema, isitoshe ni kwa tume ipi mpaka uje na hitimisho hilo? Nani ataingia madarakani inategemea kama tume huru ya uchaguzi itapatikana. Nina hakika yoyote atakayeingia kutokana na tume huru atakuwa mshindi halali.