Ole
JF-Expert Member
- Dec 16, 2006
- 2,157
- 976
Hivi Chadema watajenga lini jengo la makao makuu ya chama?
Hiyo sacos itakufa kibudu siku wakijenga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Chadema watajenga lini jengo la makao makuu ya chama?
acha uongo hospital ukienda unapewa Panadol 2 zingine kanunue,barabara zinasua sua hatar eg chunya mpaka makongolosi km 40 mwaka wa 4 Sasa hakun kitu mkandarasi amesusa site hakuna pesaMuda ndio utasema, hivi sasa hospitali nyingi kuanzia ngazi ya wilaya zinafanya kazi kwa ufanisi zaidi na dawa pamoja na vifaa vinapatikana sasa hiyo ni asilimia ngapi kwa mawazo yako? Barabara nyingi ni za lami na zinaendelea kujengwa sijui ni asilimia ngapi kwa mawazo yako?
BTW Tanzania tulikuwa tunajulikana tuna 3000km of tarmark roads countrywide. Je, unafahamu sasa hivi tunazo ngapi?
acha uongo hospital ukienda unapewa Panadol 2 zingine kanunue,barabara zinasua sua hatar eg chunya mpaka makongolosi km 40 mwaka wa 4 Sasa hakun kitu mkandarasi amesusa site hakuna pesa
Sent using Jamii Forums mobile app
Bro we ni mchochezi! Nimecheka sana, nina kakampuni kangu nilitegemea bomba la mafuta lingenipa kandarasi za kutosha, maana tuliishaaminishwa hivyo!Tuliambiwa SGR Dar to Morogoro ingeanza Dec mwaka jana, Stiegler's Gorge nayo kimya. Sio Msemaji wa serikali wala Polepole wala praise team wanaogusia, nini kimewapata.
Bomba la mafuta toka Hoima Uganda hadi Tanga lilizinduliwa kwa mbwembwe tukaonywa atakayekwamisha atakiona, nani sasa amekwamisha. Je ule wimbo wetu wa kuhamia Dodoma umeishia wapi?
Tanzania ya viwanda imefikia wapi, juzi tuliambiwa tuna viwanda vikubwa, vya kati, vidogo na vidogo sana, sijui hivyo vidogo sana ni vya wachoma mahindi?
Ndege zetu zimepaki? yaani.
Mambo ni mengi sana muda hautoshi.
Hivi ulishawahi kusafili? ili uone barabala zenu zilivyo na mashimo,waulize watu wa Mwanza kutokea Magu mpaka Hungumalwa watakuambia hizo njia zenu zilivyo bomoka ,au watu wa Sherui mpaka Iguguno watakuambia barabala zenu zilivyo,au uliza kijijini kwenu yale majengo yanayotibu wagonjwa kama yana dawa zaidi ya Panadol,labda kama wewe unaishi kwa ahemeji ndiyo huwezi kujua,hata hivyo muulize shemeji atakuambia ugumu wa maisha ulivyo.
Siku ikianza? huna uhakika lini itaanza.Michaelmakene Mtanzania yeyote makini anawachukulia ninyi kama watu wasiojua kinachoendelea nchini. Umeshindwa kuangalia Reli TV ukajua kinachoendelea? Siku treni ya kwanza ikianza kufanya kazi sijui mtasema nini.
Una uhakika lini Chadema itakuwa na jengo la makao makuu?Siku ikianza? huna uhakika lini itaanza.
MAGATA kwishney kabisa!! TANTALILA zote KWISHA hakuna STEGOLAZ wala ESIJIARA.Tuliambiwa SGR Dar to Morogoro ingeanza Dec mwaka jana, Stiegler's Gorge nayo kimya. Sio Msemaji wa serikali wala Polepole wala praise team wanaogusia, nini kimewapata.
Bomba la mafuta toka Hoima Uganda hadi Tanga lilizinduliwa kwa mbwembwe tukaonywa atakayekwamisha atakiona, nani sasa amekwamisha. Je ule wimbo wetu wa kuhamia Dodoma umeishia wapi?
Tanzania ya viwanda imefikia wapi, juzi tuliambiwa tuna viwanda vikubwa, vya kati, vidogo na vidogo sana, sijui hivyo vidogo sana ni vya wachoma mahindi?
Ndege zetu zimepaki? yaani.
Mambo ni mengi sana muda hautoshi.
Hivi waziri mwenye dhamana ameshindwa nini kuwazuia wale wote wanaoikandia ATCL kupata huduma kwenye ndege zetu? Tufike mahali jino liwe kwa jino. Zito na genge lake la wahuni wasipate hudumu kwenye ndege zetu. Wao wana pesa kutoka kwa shangazi zao wawakodishie private jets.
Maswali yako ni Sawa na mtu ambaye mlikuwa naye kwenye mipango fulani fulani hivi, halafu akajiona anakili nyingi kuliko mwenzake akaamua kujiondoa ili aone kama mwenziwe ataweza kuisukuma hiyo mipangoTuliambiwa SGR Dar to Morogoro ingeanza Dec mwaka jana, Stiegler's Gorge nayo kimya. Sio Msemaji wa serikali wala Polepole wala praise team wanaogusia, nini kimewapata.
Bomba la mafuta toka Hoima Uganda hadi Tanga lilizinduliwa kwa mbwembwe tukaonywa atakayekwamisha atakiona, nani sasa amekwamisha. Je ule wimbo wetu wa kuhamia Dodoma umeishia wapi?
Tanzania ya viwanda imefikia wapi, juzi tuliambiwa tuna viwanda vikubwa, vya kati, vidogo na vidogo sana, sijui hivyo vidogo sana ni vya wachoma mahindi?
Ndege zetu zimepaki? yaani.
Mambo ni mengi sana muda hautoshi.
Unataka kusema bomba la Hoima-Tanga linaendelea vizuri, limefikia asilimia ngapi.Maswali yako ni Sawa na mtu ambaye mlikuwa naye kwenye mipango fulani fulani hivi, halafu akajiona anakili nyingi kuliko mwenzake akaamua kujiondoa ili aone kama mwenziwe ataweza kuisukuma hiyo mipango
Cha ajabu kila ukiulizia kwamba vipi Yule jamaa anaendele??? Watu, Ndiyo anaendelea vizuri tu mbona!!!
Inauma hiyo!!!! Mmmmh!!!!
Mkuu, kitendo tu cha kuuliza maendeleo ya mipango uliyomsusia mwenzio kisa uone kama atafanya, ni ushindi Kwa uliyemsusiaUnataka kusema bomba la Hoima-Tanga linaendelea vizuri, limefikia asilimia ngapi.
Nimependa uandishi wako namna unavyofikisha ujumbe. Ndiye huyu anayedaiwa kuwa eti amefanya mambo mengi kuliko watangulizi wote 4. Watu wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa naye anakubali. Ataendelea kufeli big timeTuliambiwa SGR Dar to Morogoro ingeanza Dec mwaka jana, Stiegler's Gorge nayo kimya. Sio Msemaji wa serikali wala Polepole wala praise team wanaogusia, nini kimewapata.
Bomba la mafuta toka Hoima Uganda hadi Tanga lilizinduliwa kwa mbwembwe tukaonywa atakayekwamisha atakiona, nani sasa amekwamisha. Je ule wimbo wetu wa kuhamia Dodoma umeishia wapi?
Tanzania ya viwanda imefikia wapi, juzi tuliambiwa tuna viwanda vikubwa, vya kati, vidogo na vidogo sana, sijui hivyo vidogo sana ni vya wachoma mahindi?
Ndege zetu zimepaki? yaani.
Mambo ni mengi sana muda hautoshi.
SGR Dar- Moro kwa taarifa zao iko 75%. Lakini kwa vile awamu ya tano ni mabingwa wa kuchakachua takwimu, waweza kukuta iko 40%. Tuendelee kula mtori, nyama ziko chiniHilo ndilo lengo langu, kama una habari ya SGR Dar to Moro kuanza nijulishe nikakate tiketi.