Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
Labda zimetumika kupambana Na upinzaniUnafuta Vyeti Feki.
Unafuta Watumishi Hewa.
Ajira Mpya Hutoi.
Lakini Pesa Ya Kuongeza Hata "Statutory Annual Increment" HUNA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda zimetumika kupambana Na upinzaniUnafuta Vyeti Feki.
Unafuta Watumishi Hewa.
Ajira Mpya Hutoi.
Lakini Pesa Ya Kuongeza Hata "Statutory Annual Increment" HUNA.
BTW Tanzania tulikuwa tunajulikana tuna 3000km of tarmark roads countrywide. Je, unafahamu sasa hivi tunazo ngapi?
Hicho ni kiwanda cha nguo barani Asia.Hao ni wanaccm wa tawi lipi hapa nchini wakitekeleza sera ya viwanda?
Mkapa na JK ni wanachama wa CUF, ACT au NCCR? Unataka kutuaminisha kuwa hao wastaafu nao walikuwa wanalazimika kuinunulia ATCL ndege? Ni kazi ya Rais kununua ndege,kujenga reli, madaraja, mabwawa ya umeme?Mbona Che Nkapa na JK walishindwa kununua hata ndege moja ihali walizikuta alizoacha Baba wa taifa karibu 10? Hilo hamlioni kwa sababu ya makengeza.
Bomba la mafuta litaanza mwezi wa 8, mwezi wa tisa makampunj yataingia site na mwezi wa kumi ni uchaguzi hafu ucheck picha.Hilo ndilo lengo langu, kama una habari ya SGR Dar to Moro kuanza nijulishe nikakate tiketi.
Watz "wa mitandaoni" wa ajabu sana. Yapi Merkezi hutoa updates za SGRTz lots zote mbili kila mwezi kwa youtube. Pia TRC reli tv nao kila leo wana updates. Nyerere dam updates zake hutolewa na Tanesco yetu tv kule youtube.Ukisikia usije ukasema taarifa za uongo maana nyie BAVICHA hamtaki kusikia ukweli hasa wa miradi mikubwa. Ni suala la muda kabla ya kuukimbia uzi wako
Bwana Pascal Mayalla anasemaje juu ya hili??Kwa habari ya SGR:
Ukipita Pale TRC stesheni kazi zote zimesimama, Kuna mataruma yametelekezwa chini ya hilo daraja wamelijenga tangu December hayajapandishwa mitambo yote imeondolewa
Taarifa ni kwamba Kampuni mshirika ya Motor Engil Africa ya Kireno imejitoa kwenye mradi[emoji2369]
Tulishaambiwa kuwa ukiwa na vyerahani 4 ni kiwanda hicho na wewe ni mwekezaji. Quinine,
In God we Trust
Mlipokuwa mnasifia kila kitu kwa mbwembwe mitandaoni hamkujua Tanesco huwa wanatoa updates?Watz "wa mitandaoni" wa ajabu sana. Yapi Merkezi hutoa updates za SGRTz lots zote mbili kila mwezi kwa youtube. Pia TRC reli tv nao kila leo wana updates. Nyerere dam updates zake hutolewa na Tanesco yetu tv kule youtube.
Kisha kuna "mzalendo" anayetaka hizo info apelekewe kwa anwani yake ya posta anakuja na thread kama hii. Afrika kuna vituko vingi sana. Kuna mzungu aliandika kitabu: Vituko haviishi Afrika, kila siku kuna kituko kipya.
Sent using Jamii Forums mobile app
UPDATES.Kwa hiyo wewe unataka Nini hasa....unalalamika, unasikitika au unafurahia...au unaombea miradi hi mikubwa isifanikiwe?? Unataka Nini hasa?
Bahati mbaya mnawapotosha wajinga wenzenu. Taarifa zinatolewa mara kwa mara hamfuatilii, mnakuja humu kuropoka. Pumbavu!Wewe nawe unawasikiliza hao wajinga? Hakuna kitu ni mbwembwe za kutuona sisi wajinga wakati tunaelewa wao ndio wajinga.
Nimeandika kuua soo ipi? Mimi nimekupa data za jikoni ambazo huwezi kuzisikia isipokua kutoka kwa mtu alie jikoni.
Mradi wa Stiglers Gorge utakamilika kwa wakati iwapo hakutakua na majanga ya asili kama mvua, mvua menyesha sana hadi kujaza mtuo ruvu, diversion tunnel ilikua iko over 60% bahati mbaya maji yamejaa kabla haijakamilika, ili kutokuharibu vifaa inabidi isitishwe hadi maji yapungue.
SGR ya Dar Moro ilikua ikamilike mwaka jana ila sababu ya mvua. Nimesema kama hakutakua na changamotoza asili SGR ya Moro hadi December itakua inafanya kazi.
SGR ya Moro-Dom iko zaidi ya 30%. Hili wala halihitaji siasa.