Mwenye upeo wa hili suala! Linalohusu kudisko

Mwenye upeo wa hili suala! Linalohusu kudisko

Mpigamsuli

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Posts
3,885
Reaction score
582
Wana jf naomba mnisaidie sababu kumi zinazompelekea mwanafunzi wa chuo kudisko!
 
1. kutosoma
2. kupenda starehe
3. kuto hudhuria vipindi
.......

zingine utajaza mwenyewe
 
Poor analytical thinking and low problem solving capacity!
 
Sababu hata hazifiki kumi, sababu ni moja tu kutojitambua asipojitambua kwisha habari yake
 
Elimu ya chuo ilivyo rahisi kudisco ni ngumu sana labda uache kabisa kufanya mitihani
 
digree za chupi.......ukikataa kitoa uchi unadisko
 
1. kutosoma
2. kupenda starehe
3. kuto hudhuria vipindi
.......

zingine utajaza mwenyewe

Majibu yako yanaonyesha kwamba haujafika chuo haaaaaaaaaaaaaa,hakuna watu wanaokula bata na kuskipu vipindi kama wanachuo na wanamaliza vizuri tu,wengi wanaodisco si kwa kutotimiza gpa ya 2.0 bali ni incomplete. Au ungese wa ma dr na ma pro mtimanyongo
 
Wana jf naomba mnisaidie sababu kumi zinazompelekea mwanafunzi wa chuo kudisko!

1.Incomplete
2.Kutofanya Field
3.Utimanyongo wa ma dr na ma pro
4.Kukamatwa na mabomu
5.Kutoweza ku-clear carry
6.Kushare demu na prof/dr/tutor
7.Kudharau somo la mwalimu waziwazi
8.Kutolipa ada/xul fees
9.Kufanya wizi au uharibifu wa mali za chuo
10.Kuwa spoted kwenye migomo as frontliner
11.Udanganyifu kwenye mtihani
12.Kuchanganya namba ya mitihani
Sababu moja inaweza kumfukuza mwingine na nyingine kama hiyo isimfukuze,inategemea na cheo cha mzaza au connection ya mzazi
 
Majibu yako yanaonyesha kwamba haujafika chuo haaaaaaaaaaaaaa,hakuna watu wanaokula bata na kuskipu vipindi kama wanachuo na wanamaliza vizuri tu,wengi wanaodisco si kwa kutotimiza gpa ya 2.0 bali ni incomplete. Au ungese wa ma dr na ma pro mtimanyongo

Kweli kabisa mkuu Me chuo bado
 
Back
Top Bottom