J Joseph Gadiel JF-Expert Member Joined Dec 23, 2022 Posts 407 Reaction score 713 Nov 17, 2024 #1 Kama una uzoefu wa kazi za pedicure na manicure njoo tufanye kazi, Ni biashara ambayo ndiyo kwanza tunaanza, vifaa vyote vipo, kila tunapofunga hesabu jioni, tutagawana ikiwezekana 50/50, Eneo ni Survey, Opposite na Mlimani city, Dar es salaam.
Kama una uzoefu wa kazi za pedicure na manicure njoo tufanye kazi, Ni biashara ambayo ndiyo kwanza tunaanza, vifaa vyote vipo, kila tunapofunga hesabu jioni, tutagawana ikiwezekana 50/50, Eneo ni Survey, Opposite na Mlimani city, Dar es salaam.