Mwenye utaalamu na mambo ya kodi ya magari

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
7,235
Reaction score
7,392
Salaam,

Nimenunua gari Zanzibar, Nimeambiwa ushuru wake ni milion 28 kuileta Dar.

Kuna mtu mwingine kanambia naweza kupata punguzo kama nitaongea na TRA na kuandika barua.

Swali langu ni je hilo jambo ni kweli lipo na linawezekana?

Kwa wale watu wenye utaalamu na mambo ya TRA au ambao wamepitia kwenye situation kama yangu
 
Ukinunua gari Zanzibar unatakiwa ulipe kodi ambayo ni differential.Mfano hiyo gari zanzibar ililipiwa kodi ya TZS 10,000,000/= iliponunuliwa kutoka Japan.Sasa mfano gari kama hiyo kuiingiza hapa Tanzania bara kutoka Japan kodi yake ni TZS 21,000,000/= basi wewe utalipa TZS 11,000,000/=(21,000,000-10,000,000) kwa sababu TZS 10,000,000/= tayari imelipwa Zanzibar ambayo ni sehemu ya Tanzania.

Kwa hiyo wewe ulizia kwanza huko Zanzibar imelipa kodi ya kiasi gani iliponunuliwa kutoka Japan halafu ulizia gari kama hiyo ikiingia Tanzania bara kutoka huko japani huwa inatakiwa kulipiwa kodi kiasi gani kisha tafuta differential.
 
Kidogo nimepata mwanga
 
Back
Top Bottom