Mwenye uwelewa juu ya mkwawa university

Mwenye uwelewa juu ya mkwawa university

Joined
Oct 1, 2013
Posts
20
Reaction score
0
Jamani kawa anaejua mkwawa univesity aka muce anijuze haya yafuatayo maana nimechaguliwa huko.. 1 kuhusu hostel zipo za kutosha? 2.kwa mwaka hostel ni sh ngapi? 3 chuo kipo sehemu gani iringa? 4.msuli wa pale vipi? 5 kuna huduma za jamii karibu? 6.misosi ya bei nafuu inapatikana? Ndo hayo jamani tusaidiane wakuu!
 
Kipo Iringa mjini, huduma zote zipo mengine utayajua ukishafika
 
Mbona pesa ya kawaida yani hata laki 2 hazifiki kwa mwaka!
 
hhata kama mwl ni mkali we zingatia atakavyo
 
Ukifika hakikisha unashuka iringa mjin usije ukashuka ipogoro kwa hyo gar likisimama uliza wenyeji kuwa ni stand kuu au la pili ukifika stand ulizia sehem inayoitwa mr (em ara sio mister) kama utapanda hiace kama utachukua pikipik zko stand kama utataka tax pia ziko stand so karibu sana
 
dah! Asante sana mjomba tuko pamoja sana! Kagera 2 iringa! Ndo mpango mzima!
 
Back
Top Bottom