Buberwa Edesius
Member
- Oct 1, 2013
- 20
- 0
Jamani kawa anaejua mkwawa univesity aka muce anijuze haya yafuatayo maana nimechaguliwa huko.. 1 kuhusu hostel zipo za kutosha? 2.kwa mwaka hostel ni sh ngapi? 3 chuo kipo sehemu gani iringa? 4.msuli wa pale vipi? 5 kuna huduma za jamii karibu? 6.misosi ya bei nafuu inapatikana? Ndo hayo jamani tusaidiane wakuu!