Buberwa Edesius
Member
- Oct 1, 2013
- 20
- 0
Kipo Iringa mjini, huduma zote zipo mengine utayajua ukishafika
Mbona pesa ya kawaida yani hata laki 2 hazifiki kwa mwaka!
Kipo Iringa mjini
mmsuli ni mkali.
Boda boda buku hadi getinihapo nimekusoma sana kwa hyo hata nikifika stand usiku siwezi kupotea?
hhata kama mwl ni mkali we zingatia atakavyo
pamoja sana
hapo nimekusoma sana kwa hyo hata nikifika stand usiku siwezi kupotea?
Ukifika hakikisha unashuka iringa mjin usije ukashuka ipogoro kwa hyo gar likisimama uliza wenyeji kuwa ni stand kuu au la pili ukifika stand ulizia sehem inayoitwa mr (em ara sio mister) kama utapanda hiace kama utachukua pikipik zko stand kama utataka tax pia ziko stand so karibu sana