Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Naombeni msaada wasomi nguli wa JF lili kupata maana au tafsiri ya maneno/ sentensi ifuatayo...
Tafsiri yake ni hii:- kuna fursa moja katika maisha ya watu (fursa hiyo) ikichukuliwa kwa uangalifu basi itapelekea kwenye ufaulu.
Huyo William Shakespeare alikuwa ni poet na mtu wa fasihi maarufu sana sio katika uingereza tu bali duniani pote anafahamika hivyo, basi maneno yake yamejaa maana za ushairi na fasihi ukizingatia kwamba yeye ndiye baba wa fasihi ya lugha ya kiingereza basi maneno yake licha ya kwamba ni ya kale bali yanatakiwa yachunguzwe kifasihi zaidi.