Chatumkali
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 2,037
- 458
nenda mwenyewe TIPPER,ni kiampuni ya mafuta ipo kigamboni,hao erolink ni madalali tu,wewe kama vp ibuka na macv yako pale kati
Fuata ushauri huu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nenda mwenyewe TIPPER,ni kiampuni ya mafuta ipo kigamboni,hao erolink ni madalali tu,wewe kama vp ibuka na macv yako pale kati
nilisha enda kwa usaili,ulifanyikia orixy kurasini kwa maezo kwamba ni sister company.nimefanya interview tatu,moja pale na mbili zilikua telecomference ambazo nilifanyia na group IT manager alikua uswiss.niliongea nao mshahara 2ml.wakanipigia simu kwamba mimi ndo nimekubarika,erolink wakanipigia simu kwamba nimechaguliwa na tipper ko niende nikasign mkataba ila badget ni 1.5ml gross.kuanzia apo nikawatumia msg kwamba nasikitika sitokua tayari kuajiriwa nao ndipo wakaanza kunipigia kwamba mshaara unaweza ongezeka niende tu.sikuwajibu wala sikuenda tena.Fuata ushauri huu.
Mkuu kwa vijana wanaosaka ajira ukiwaambia umekataa mshahara wa 1.5m hata hawakuelewi kabisa.........nilisha enda kwa usaili,ulifanyikia orixy kurasini kwa maezo kwamba ni sister company.nimefanya interview tatu,moja pale na mbili zilikua telecomference ambazo nilifanyia na group IT manager alikua uswiss.niliongea nao mshahara 2ml.wakanipigia simu kwamba mimi ndo nimekubarika,erolink wakanipigia simu kwamba nimechaguliwa na tipper ko niende nikasign mkataba ila badget ni 1.5ml gross.kuanzia apo nikawatumia msg kwamba nasikitika sitokua tayari kuajiriwa nao ndipo wakaanza kunipigia kwamba mshaara unaweza ongezeka niende tu.sikuwajibu wala sikuenda tena.
Mkuu kwa vijana wanaosaka ajira ukiwaambia umekataa mshahara wa 1.5m hata hawakuelewi kabisa.........
inategemea,nilipo ni 1.5ml plus laki na nusu ya nyumba na elf50 ya cm separate ko kukataa unalinganisha na ulipo!pia package kubwa inakuja with experienceMkuu kwa vijana wanaosaka ajira ukiwaambia umekataa mshahara wa 1.5m hata hawakuelewi kabisa.........