MESHACK LUBINZA
Member
- Sep 18, 2016
- 34
- 17
nenda ECLOF mkuu.Kwani upo wapi?Hbr wanajamvi ningependa kufahamu kutoka kwenu wanajamvi kuhusiana na hii taasisi inayoitwa baypot kuhusu utoaji wao wa mkopo baada ya kukamilisha vigezo vyote mikopo yao inachukuwa siku ngapi hadi unapata mkopo na je?hawa watu si wababaishaji vipi kuhusiana na rushwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbona mwandiko kama wa mkeo huu[emoji20]
"ni shiiiidaaah"
Duu hao majambazi aisee.Usijaaaaariiiiibuuuu....
Mke wangu aliwahi kukopa hapo... mil 1 anarudisha mil 6 yani ni shiiiidaaah...
Bayport imesababisha watu wengi sana has a vijana kuacha kazi. Ni shida kubwa hiyo.Chanzo cha mimi kuacha kazi ni bayport nilikopa 4m nikashangaa den linakuja 14m hapohapo nikaacha kaz na kujiajir maana ningekuwa nawafanyia kazi!!
Hutamaliza kirahisi ndugu.Nilipata mkopo ndani ya masaa 24. Bayport kiboko na nikimaliza huu niliochukuo mwezi uliopita naenda tena kuchukua 10 m
Hongera bayport
hahaha njooni huku wadau wakala wao amefika kutetea kitumbuaNilipata mkopo ndani ya masaa 24. Bayport kiboko na nikimaliza huu niliochukuo mwezi uliopita naenda tena kuchukua 10 m
Hongera bayport
pole sana mkuu, inauma sana yaani unakopa 4m unalipa 14m haya ni maajabu ya dunia ndiyo maana yanakufa kwa pressureChanzo cha mimi kuacha kazi ni bayport nilikopa 4m nikashangaa den linakuja 14m hapohapo nikaacha kaz na kujiajir maana ningekuwa nawafanyia kazi!!
Hao ni wezi tena majambazi. Huwa sielewi kwa nini serikali inaruhusu utapeli na wizi wa mchana kweupe kama huu. Iweje ukope 4M na ulipe14M?Chanzo cha mimi kuacha kazi ni bayport nilikopa 4m nikashangaa den linakuja 14m hapohapo nikaacha kaz na kujiajir maana ningekuwa nawafanyia kazi!!