adolf440
JF-Expert Member
- Sep 19, 2015
- 251
- 207
Asiesikia la mkuu huvinjika guu, waliochangia hapo juu wote ni wakuu aidha kwa kupitia dhahama za kukopa humo au umri kwa maana ya wameona mengi, wala usitake kujaribu. Mimi nilienda ofisi zao kuomba mkopo wa kiwanja, lakini nilishangazwa na jambo moja, afisa aliyekuwa ananihudumia kwa maana ya kumuuliza maswali kadhaa wa kadha alikuwa ni kijana tuu kama 34 hivi, nikashngaa ananiambia kiwanja fulani ni 5 million, lakini hicho kiache tafuta vya 2 million sikujua ana maana gani, baadae ndio waungwana kama humu mlivyo wakaniambia huyo alikuwa anakusaidia usiingie kwenye matatizo ya kurudisha fedha hadi 10 million.
Nilikuwa mdogo hadi sasa. SIKIA LA WAKUU.
Nilikuwa mdogo hadi sasa. SIKIA LA WAKUU.