Mwenye uzoefu na Baypot

Mwenye uzoefu na Baypot

Asiesikia la mkuu huvinjika guu, waliochangia hapo juu wote ni wakuu aidha kwa kupitia dhahama za kukopa humo au umri kwa maana ya wameona mengi, wala usitake kujaribu. Mimi nilienda ofisi zao kuomba mkopo wa kiwanja, lakini nilishangazwa na jambo moja, afisa aliyekuwa ananihudumia kwa maana ya kumuuliza maswali kadhaa wa kadha alikuwa ni kijana tuu kama 34 hivi, nikashngaa ananiambia kiwanja fulani ni 5 million, lakini hicho kiache tafuta vya 2 million sikujua ana maana gani, baadae ndio waungwana kama humu mlivyo wakaniambia huyo alikuwa anakusaidia usiingie kwenye matatizo ya kurudisha fedha hadi 10 million.
Nilikuwa mdogo hadi sasa. SIKIA LA WAKUU.
 
Baypot wako poa sana we nikikopa 78m nikarudisha 81m huin kama wako poa afu mkopo ndan ya masaa 72 from the day ya kupeleka fomu huska.
 
Niliishangaa serikali ya mh kikwete kulea haya majini, nilishawahi kulalamika.

labda mzee Magufuli anaona, lkn hadi amtumbue beni, ndulu si wakutuua na wanyonya damu hawa

sio beopoti tu yapo manyangumi mengi
Mkuu kama mtu anayajua mashetani mengine pia mtutajie tuokoe watanzania masikini
 
Mbona Bayport wana makato maɗogo ukiwalinganisha na platnum credits,faiɗika/letshego na micro finance nyingne zina riba kubwa kuliko bayport.
 
Ukikosa kwa miezi 6 hadi 12 riba ni ndogo ila usizidi hapo
 
Chanzo cha mimi kuacha kazi ni bayport nilikopa 4m nikashangaa den linakuja 14m hapohapo nikaacha kaz na kujiajir maana ningekuwa nawafanyia kazi!!
duu m10 extra, kweli hawa jamaa ni kupe aisee
 
Ukikosa kwa miezi 6 hadi 12 riba ni ndogo ila usizidi hapo
Huu ndio ukweli..ukikopa kwa miezi 6 riba haizidi 14%...mfano ukikopa mil 1 utarudisha 1.14
Ila miezi ikiwa mingi miriba ya ajabu ndio inaingia
 
Huu ndio ukweli..ukikopa kwa miezi 6 riba haizidi 14%...mfano ukikopa mil 1 utarudisha 1.14
Ila miezi ikiwa mingi miriba ya ajabu ndio inaingia
Nawajua Bayport nje ndan yani Nina PhD kuhusu wap. Mfumo wap wa ribs haupo kama ivyo ulivyoandika na umekaa kutapel sana ndio maana watu wengi wanalia sana, yan maelezo uyayopewa wakat wa kukopa ni tofauti na makato yenyewe wao wanatumia Compound interest ambayo ni hatar sana wastan wa mtu anayekopa milion 3 kwa miaka mitatu analipa around milion kumi kasoro. Ni harari sana anayejiingiza huko awe amejipanga. Mi najua vijana zaidi ya kumi wameacha kaz ya ualimu kwa mikopo ya Bayport
 
Bayort? Utalizwa usipokua makini! Kuna jamaa yangu alikopa 1.5 mil alipokaribia kumaliza deni wakamuingizia 4 mil bila mkataba wowote jamaa kachek kweny Acc.anakuta mzigo wa m4 kuchukua bank statement akakuta zimeingizwa kutoka Bayport! Jamaa wanafix hao kilichofuata badae jamaa mpaka Leo analalama tu.
 
Mkuu kama mtu anayajua mashetani mengine pia mtutajie tuokoe watanzania masikini
Mkuu Benk ya posta sio watu wale......50% interest yaani nilijua afadhal kumbe ni wale wale....wao posta wanadanganya 15.5% mkataba ni false. sio real anafanya kuku uliza usome uulewe kuisoma upo okay, ukiletewa instalment ni ya ajabu loan 7,500,000/- kwa 14,000,000/- return
 
Nawajua Bayport nje ndan yani Nina PhD kuhusu wap. Mfumo wap wa ribs haupo kama ivyo ulivyoandika na umekaa kutapel sana ndio maana watu wengi wanalia sana, yan maelezo uyayopewa wakat wa kukopa ni tofauti na makato yenyewe wao wanatumia Compound interest ambayo ni hatar sana wastan wa mtu anayekopa milion 3 kwa miaka mitatu analipa around milion kumi kasoro. Ni harari sana anayejiingiza huko awe amejipanga. Mi najua vijana zaidi ya kumi wameacha kaz ya ualimu kwa mikopo ya Bayport
posta wako hivyo pia, false contract
 
Kama unataka kufa kwa presha nenda huko na kama ni instalment ya miaka mitano ndio nzuri sababu hiyo ndio itakupeleka jehanamu moja kwa moja milele.
 
Back
Top Bottom