Mwenye uzoefu na biashara ya majeneza

Mwenye uzoefu na biashara ya majeneza

Naanto Mushi

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
6,236
Reaction score
15,677
Habarini wakuu, huu uzi kuna member anaitwa Mbwa dume nilimuandikia kama PM ila naona bado sijampata maana alikujaga na uzi wake wa kutangaza majeneza kipindi cha nyuma.

Kwa sababu bado sijampata na mimi nna shida .. ningeomba kusaidiwa baadhi ya taarifa kama ifuatavo kwa yoyote mwenye kujua

1) Bei ya majeneza kwa sasa kwa Dar es salaam Standard ya majeneza ya Kawaida = Tsh ngapi?____________________ Ya medium = Tsh ngapi? __________ na ya matajiri bei ya juu kabisa ni kiasi gani?? _______________________

2) Majeneza yote yanayouzwa Dar es salaam, yanatengenezwa hapa hapa ndani ya nchi ama kuna ya kuagiza nje?

3) Material kuu ya kutengeneza majeneza. Ni mbao zaidi au zile board?

4) Kuna makampuni hapa Dar makubwa yanayotengeneza majeneza ukiacha hawa seremala wadogo wadogo wa mitaani?

5) Ntaomba pia makadirio ya wastani wa gharama ya kutengeneza jeneza moja kwa hapa Dar es salaam.

NENDA HOSPITALI KUBWA KUBWA MFANO MUHIMBILI/MLOGANZILA, KAIRUKI, RABININSYA, CARINAL RUGAMBWA, AGA KHAN, REGENCY, TMJ KWA PEMBENI LAZIMA UKUTE KUNA WAUZA MAJENEZA WATAKUPA INFO ZA KUTOSHA

BEI WANAANZIA 150,000 HADI MILIONI 1,2,3,4 NA KUENDELEA KULINGANA NA UBORA
 
Asante mkuu aisee
 
Back
Top Bottom