Mwenye uzoefu na biashara ya majeneza

Ingekua bora ukiweza kujinunulia jeneza lako ukalihifadhi, binadamu si watu wema hata kidogo. Unaweza kuacha mamilioni ya pesa wakakuzika kwenye jeneza la 150,000 na nyingine wagawane.
Nisaidie bei zake kiongozi
 
Inategemeana unataka kuwa unachonga na kuuza au kununua kwa wachongaji na wewe ukauza kwa mlaji wa mwisho?

Kwanza jua Watz wengi urefu ni ft5 wenye 6 na 7 ni wachache hivyo majeneza yako weka kipimo cha urefu ft 6 na point.

Hii biashara ipo kama ya sigara haina matangazo sana hivyo lazima u target soko lako vizuri.

Nb:unaweza kuongeza hapo hapo na biashara ya kukodisha watu maalum wa kulia misibani.
 
Saaa mkuuu kukodisha watu kulia msibaniiii......hii kaliiiiiiii
 
Saaa mkuuu kukodisha watu kulia msibaniiii......hii kaliiiiiiii
 
Nenda Manzese UTAPATA MWONGOVO
 
Asante Chief
 
Daaah biashara zingine kma laana unapata pesa mwisho wa siku unarudi kua hoehahe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…