josemaro
Member
- Jul 14, 2018
- 90
- 61
Mm nashangaaga sana bongo kuna platform kuwa ya kuinuwa wasanii like bss but sijaona record label inakuja kuchukuwa wasanii kule i think ukichukuwa kule utachukuwa mtu ambay tear atakuwa ameshajitangaza pakubwai)Tangaza dau sikiliza watu wengi usikomae na mmoja kisa unajuana nae....
ii)Shirikisha mawazo ya wenzio
Wewe mwenyewe in your bones utamsikia tu yule mtu perfecto
Na hiyo ni part A tu ya kumpata artist
Part B ni kumtoa ndo most challenging....
nimeshaona watu wana pesa (meneja wa jembe fm,meneja wa Tigo Tz) wanapata wasanii wanaojua kuimba kinoma (angalia youtube the jovins kuliko jana)...yani mpaka hapo part A wamefanikiwa 110%
Lakini wanafail part B wamefail pakubwa sana