Mwenye uzoefu na biashara ya muziki wa Bongo Flava

Mm nashangaaga sana bongo kuna platform kuwa ya kuinuwa wasanii like bss but sijaona record label inakuja kuchukuwa wasanii kule i think ukichukuwa kule utachukuwa mtu ambay tear atakuwa ameshajitangaza pakubwa
 
Biashara ya mziki Bongo ni Patapotea.
Ndio maana hata hao wakina Mkubwa fela/Salam/Babu tale wanavizia msanii ambaye tayari ameshatengeneza jina wao ndio watamfuata na kumshawishi kufanya naye kazi kwa sababu wanamuona ameshatoboa.
Ila ukisema uanze na msanii from scratch utapoteza hela zako tu maana na washabiki nao wanaenda kwa upepo.
 
Cheki video hapa chini yenye vifaa vyote vya mziki.
Whatsapp: +971527794329
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…