Nina laki 8 nataka kufungua mradi wa salon. Vitu nilivyonavyo sasa ni Radio na TV ndogo chogo ambayo baada kununua flat TV niliihifadhi tu,na saa nmepenga kuitumia kwenye Salon.
Naomba mtu mwenye uzofe anisaidie kwa hiyo laki 8 ni vitu gani vingine naweza kuvinunua na kufungua ofisi.
Ntafurahi mkitaja na Bei. Asanteni.
--------
Pitia link hii usome michango ya wadau