Mwenye uzoefu na biashara ya Saloon

Mwenye uzoefu na biashara ya Saloon

Abby Newton

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2017
Posts
1,252
Reaction score
2,253
Nina laki 8 nataka kufungua mradi wa salon. Vitu nilivyonavyo sasa ni Radio na TV ndogo chogo ambayo baada kununua flat TV niliihifadhi tu,na saa nmepenga kuitumia kwenye Salon.

Naomba mtu mwenye uzofe anisaidie kwa hiyo laki 8 ni vitu gani vingine naweza kuvinunua na kufungua ofisi.

Ntafurahi mkitaja na Bei. Asanteni.
--------
Pitia link hii usome michango ya wadau

Biashara ya salon za kiume na kike - JamiiForums
 
Wabobez wa hii sekta
Karibuni

stidy
 
Back
Top Bottom