ISACOM JF-Expert Member Joined Jul 22, 2009 Posts 546 Reaction score 413 May 19, 2021 #1 Mwenye uzoefu na gari tajwa hapo juu, naomba anitajiechangamoto zake. Nataka kununua miongoni mwa gari hizo. Najua humu wapo wazoefu na ambao wamewahitumia miongoni mwa gari hizo. Nawasilisha
Mwenye uzoefu na gari tajwa hapo juu, naomba anitajiechangamoto zake. Nataka kununua miongoni mwa gari hizo. Najua humu wapo wazoefu na ambao wamewahitumia miongoni mwa gari hizo. Nawasilisha
Karucee JF-Expert Member Joined Mar 11, 2012 Posts 18,155 Reaction score 34,303 May 19, 2021 #2 IST zina uzuri wake, ni ngumu na spare zinapatikana. Ya pili chukua Raum. Swift hamna kitu. Suzuki hajawahi feli kama alivyofeli kwenye ka Swift.
IST zina uzuri wake, ni ngumu na spare zinapatikana. Ya pili chukua Raum. Swift hamna kitu. Suzuki hajawahi feli kama alivyofeli kwenye ka Swift.
ISACOM JF-Expert Member Joined Jul 22, 2009 Posts 546 Reaction score 413 May 19, 2021 Thread starter #3 Karucee said: IST zina uzuri wake, ni ngumu na spare zinapatikana. Ya pili chukua Raum. Swift hamna kitu. Suzuki hajawahi feli kama alivyofeli kwenye ka Swift. Click to expand... Kuna zile IST za cc1490 na cc 1290...Hipi nzuri katika hiyo?
Karucee said: IST zina uzuri wake, ni ngumu na spare zinapatikana. Ya pili chukua Raum. Swift hamna kitu. Suzuki hajawahi feli kama alivyofeli kwenye ka Swift. Click to expand... Kuna zile IST za cc1490 na cc 1290...Hipi nzuri katika hiyo?
Karucee JF-Expert Member Joined Mar 11, 2012 Posts 18,155 Reaction score 34,303 May 19, 2021 #4 ISACOM said: Kuna zile IST za cc1490 na cc 1290...Hipi nzuri katika hiyo? Click to expand... Chagua 1490 uwezo wake upo juu kuliko 1290 lkn unamaanisha pia wese linaenda fasta zaidi.
ISACOM said: Kuna zile IST za cc1490 na cc 1290...Hipi nzuri katika hiyo? Click to expand... Chagua 1490 uwezo wake upo juu kuliko 1290 lkn unamaanisha pia wese linaenda fasta zaidi.
L lucasm00 Member Joined Oct 2, 2020 Posts 48 Reaction score 42 May 20, 2021 #5 Raum apoo ni the best mzee ina space kubwa vipuli vingi tu wese tofauti sio kubwa sana changamoto yake labda mlango wa abiria
Raum apoo ni the best mzee ina space kubwa vipuli vingi tu wese tofauti sio kubwa sana changamoto yake labda mlango wa abiria