Ben Zen Tarot JF-Expert Member Joined Dec 13, 2014 Posts 4,298 Reaction score 7,612 Apr 29, 2021 #1 Jamani mwenye uzoefu wa hizi gari Nissan Hard Bord D22 hii huwa kuna muda ukiiwasha inaweza ikaenda vizuri ila katikati ya safari ina poteza nguvu mpaka uizime uwashe tena na kuikanyaga lesi ndipo uondoke tena sija jua shida ni nini ...?
Jamani mwenye uzoefu wa hizi gari Nissan Hard Bord D22 hii huwa kuna muda ukiiwasha inaweza ikaenda vizuri ila katikati ya safari ina poteza nguvu mpaka uizime uwashe tena na kuikanyaga lesi ndipo uondoke tena sija jua shida ni nini ...?