Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,298
- 7,612
Jamani mwenye uzoefu wa hizi gari Nissan Hard Bord D22 hii huwa kuna muda ukiiwasha inaweza ikaenda vizuri ila katikati ya safari ina poteza nguvu mpaka uizime uwashe tena na kuikanyaga lesi ndipo uondoke tena sija jua shida ni nini ...?