Mwenye uzoefu ni bank gani hapa Dar naweza kwenda kulipia Visa kwa ajiri ya appointment US embassy?

Mwenye uzoefu ni bank gani hapa Dar naweza kwenda kulipia Visa kwa ajiri ya appointment US embassy?

Nadhani ukishafika Dar Es Salaam majibu haya yakuwa na manufaa kwako
 
Wnatumia mbona mm nmelipia majuzi kati....na sahv na sahv visa unasubiria kwa siku kadhaa na unaenda chukua passport yako DHL
Kuna option ya kulipia kwa airtel money lkn wakati mwingine mtandao miyeyusho

OVA
Mkuu, samahan!napenda kujua kama nitafika bank hizo SI unalipia kawaida tu? Au itanibidi niingize na Ile IVR account number? Nisaidie Mimi ndio mara ya kwanza kufanya hili jambo,ni shamba boy huku milimani Rushoto
 
Nenda na IVR namba bank pale wanajuwa kila kitu
Na mambo yakiwa mukideee passport yako uta3nda chukulia DHL,utatumiwa email
Watu tayariii 😄 mbona mambo madogo haya mkuu

Ova
Pamoja mkuu,,IVR account number ninayo,kwa hiyo niende bank gani wew uliyoitumia kwa uhakika?
 
Mdogo wangu nilimlipia kwa Airtel money wana lipa namba yao halafu mtandao ulikuwa unasumbua dogo akaniona kama sijalipia,kumbe Airtel wenyewe wakaomba radhi ila alifanikiwa bora uende Bank nilielekezwa masaki sijui Oyster Bay
 

Attachments

  • Screenshot_20250721-174923.jpg
    Screenshot_20250721-174923.jpg
    176.8 KB · Views: 27
Mdogo wangu nilimlipia kwa Airtel money wana lipa namba yao halafu mtandao ulikuwa unasumbua dogo akaniona kama sijalipia,kumbe Airtel wenyewe wakaomba radhi ila alifanikiwa bora uende Bank nilielekezwa masaki sijui Oyster Bay
Asante,,Hadi wa confirm wamepata inatumia siku ngap? Nimelipia siku ya tatu Leo Bado hawajanipa jibu Ila kwa njia ya bank
 
Back
Top Bottom