Mwenye uzoefu wa biashara ya kufungua collage ya urembo, mapambo na cherehani

Mwenye uzoefu wa biashara ya kufungua collage ya urembo, mapambo na cherehani

kadogo2

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
3,278
Reaction score
5,212
Najua humu kuna wengi wenye upeo zaidi ya wengine

Kwa muda mrefu sana nimekuwa na hili wazo la kuanzisha ama Lengo ama ndoto Veta ndogo kwa ajili ya masuala ya urembo, Isusi na mapambo n.k

Sasa huwa ninakosa pa kuanzia. Sijui. Cost yake yaani kiufupi sijui pa kuanzia
Natamani kupata mtu wa kunielekeza process zote katika kuanza

Mtaji na Gharama zote mpk chuo kuanzishwa na kanuni zote mpk kisajiliwe

Naombeni mnisaidie kwani ni moja ya ndoto nazotamani kufanikisha ni kitu nachokipenda ila namna ya kuanza sijui
 
Ahsante kwa taarifa. Ngoja waje kukupa mwongozo.
 
Back
Top Bottom