Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye vimiminika vya kupima hapo nadhani asilimia kubwa ya wamiliki hawaweki ila mafundi wao ndio wanawawekea nadhani kwenye service mwenye chombo kama anataka gari yake iwe imara na idumu mda mrefu yeye ndio anatakiwa kununua spare na sio fundi ila kama anataka kutembelea siku kadhaa tu na kuipaki amuachie fundi anunue spare utafurahi!Kwa uzoefu mkuu hakuna gari amabayo sio imara wala iliyo imara kupita ingine, kikubwa ni jinsi unsvyolitumia na unavyolifanyia matengenezo, hasa unapo lifanyia service unatumia muda mwafaka na uanatumia vimiminika halisi au vya kupima mtaani? Naamini ktk anagalizo la spea na service gari inadumu.
Asante kaka kwa ushauriKwa uzoefu mkuu hakuna gari amabayo sio imara wala iliyo imara kupita ingine, kikubwa ni jinsi unsvyolitumia na unavyolifanyia matengenezo, hasa unapo lifanyia service unatumia muda mwafaka na uanatumia vimiminika halisi au vya kupima mtaani? Naamini ktk anagalizo la spea na service gari inadumu.
hyo picha ya premio sio new model..hyo old model...ila kwa kukushauri zote ulaji wa mafuta ni econimical..spare za premio zipo chini kdg kulinganisha na subaru..so ni ww tu kuangalia lipi linauvutia zaidJamanii nataka kununua gari ya kutembelea kati ya Toyota Premio new model cc 1496 Na Subaru impreza1496. Ipi ipo vizuri kiuimara?
Toyota Premio
Subaru impreza
Asante bro kwa ushauriMy friend, unataka gari reliable,dependable, durable, easy to maintain na spare parts za kumwaga go for Toyota. Toyota are well built.. Subaru with boxer engine uzuri haina vibration sana kwenye cabin, ila engine zake zina changamoto za head gasket.
Yote kwa yote gari ni matunzo, na mtunzi wa kwanza ni wewe mmiliki.. Never depend kwa fundi atakuaribia gari..zingatia engine oil na quality ya gearbox hydraulic. Weka engine oil 5w-30, 5w-40 au 10w-30.