Mwenye video ya rais Uhuru Kenyatta akiwa anahutubia leo katika siku ya wafanyakazi aweke hapa

Witmak255

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2019
Posts
3,264
Reaction score
5,419
Baada ya huku kwetu kupigwa hat -trick na namba moja, kwa kuoredheshewa idadi ya miundo mbinu inayojengwa na itakayojengwa katika kipindi chake, ni vema pia tukaangalia upende wa pili kwa wenzetu wa Kenya..

Nataka kumsikiliza raisi wa kenya, baada ya kutoka kumsikiliza waziri wa ujenzi na miundo mbinu wa Tanzania.

Rais wetu, ziara zote hotuba yake huwa ni moja tu, masuala ya miundombinu, haijalishi awe anaongea na maaskofu, wageni kutoka nje, kikotoo, na hata leo Mei mosi, hotuba yote imetawaliwa na masuala ya miundo mbinu,Kuna mda huwa nafikiria namba one anaimisi hii wizara ya ujenzi.

Hili limenivuta kujua hotuba ya Kenyatta Leo alikuwa anazungumzia nini na wafanyakazi wake....Kama una video yake tupia hapa
 
Kenyatta kaingia mitini sherehe za mei mosi alikuwepo Waziri wa Kazi na viongozi wa upinzani akina Mudavadi na Kalonza Musyoka na yule Wetangura wa ODM.

Wafanyakazi wametoka viwanja vya Uhuru Park vichwa vikiwa chini walitegemea ongezeko la 15% katika mshahara lakini wameambulia 0%.

Una ombi lingine?
 
Wewe lumumba siwezi kukuamini lete video
 
Kenyatta kaingia mitini sherehe za mei mosi alikuwepo Waziri wa Kazi na viongozi wa upinzani akina Mudavadi na Kalonza Musyoka na yule Wetangura wa ODM.

Wafanyakazi wametoka viwanja vya Uhuru Park vichwa vikiwa chini walitegemea ongezeko la 15% katika mshahara lakini wameambulia 0%.

Una ombi lingine?
Alimanisha kama Uhuru nae alizungumzia miundo mbinu na mabwawa
 
Kenyatta kaingia mitini sherehe za mei mosi alikuwepo Waziri wa Kazi na viongozi wa upinzani akina Mudavadi na Kalonza Musyoka na yule Wetangura wa ODM.

Wafanyakazi wametoka viwanja vya Uhuru Park vichwa vikiwa chini walitegemea ongezeko la 15% katika mshahara lakini wameambulia 0%.

Una ombi lingine?
Japo ni kweli ila umezungumza ki ccm sana.unlike hapa kwetu kwenye one man show,Kenya raisi hua anatangaza tu mshahara ila kuna bodi Tatu ambazo hua zinakaa kujadili maswala ya ongezeko la mshahara na mpaka kufikia Leo zilikua hazijakaa kupanga.
 
vitu vidogo vidogo. kawakilishwa na Gavana wa Nairobi Mike Sonko.
 
Huku kwetu magu lazima angewakilisha kwa kiki tu. Hali ni mbaya sana mafao ya waliostaafu bado kuyapata...dona kantri
 
Njooni Tanzania mjifunze jinsi ya kukarabati reli ya mkoloni.
 
Back
Top Bottom