Witmak255
JF-Expert Member
- Feb 5, 2019
- 3,264
- 5,419
Baada ya huku kwetu kupigwa hat -trick na namba moja, kwa kuoredheshewa idadi ya miundo mbinu inayojengwa na itakayojengwa katika kipindi chake, ni vema pia tukaangalia upende wa pili kwa wenzetu wa Kenya..
Nataka kumsikiliza raisi wa kenya, baada ya kutoka kumsikiliza waziri wa ujenzi na miundo mbinu wa Tanzania.
Rais wetu, ziara zote hotuba yake huwa ni moja tu, masuala ya miundombinu, haijalishi awe anaongea na maaskofu, wageni kutoka nje, kikotoo, na hata leo Mei mosi, hotuba yote imetawaliwa na masuala ya miundo mbinu,Kuna mda huwa nafikiria namba one anaimisi hii wizara ya ujenzi.
Hili limenivuta kujua hotuba ya Kenyatta Leo alikuwa anazungumzia nini na wafanyakazi wake....Kama una video yake tupia hapa