Mwenye vitabu au tutorials za mapishi ya kienyeji anisaidie

Mwenye vitabu au tutorials za mapishi ya kienyeji anisaidie

Mm pia najifunza niseje msumbua wife nikioa na napenda kujaribu tu kupata radha tofauti ya chakula kwaiyo najikuta nalazimika kujaribu kupika pika.

Mbinu nyingine nzuri ya kujifunza kama unachakula unapenda kujifunza alika mtu/rafiki nyumbani kwako anaejua kukianda hicho chakula vizuri then kaa nae karibu jikoni mda anakiandaa. Utajikuta umejifunza mambo mengi
 
Back
Top Bottom