Nitafurahi zaidi ukiwekwa wazi, na kama kuna waraka wowote basi uletwe tuuone tuujadili, na wao wataweza kujifunza hoja mbalimbali zinazoweza kuleta manufaa. Mimi naamini ukiwa kiongozi unaongoza matakwa ya watu sio matakwa yako/yenu viongozi ukiwa unatoa maagizo kutoka juu kwenye kiti chako ndani ya kiyoyozi na kumazlimisha aliye juani kutekleza mawazo yako/yenu bila kumshirikisha kuamua kuhusu maamuzi ya kiongozi huo utakuwa ni ud...