Profesa
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 905
- 624
Wana JF nautafuta kwa nguvu zote waraka wa CCM kuhusu Rasimu ya Katiba mwenye nao ani PM. Sina uhakika kama ni wa wazi au ni wasiri, maana Mode anaweza akauna wa moto si unajua haya mambo tena?
Ninachokiona humu Jukwaani ni analysis zaidi, na mimi nataka kujiridhisha.
Ninachokiona humu Jukwaani ni analysis zaidi, na mimi nataka kujiridhisha.