Mwenye wasifu wa huyu jamaa aje haraka

Huyo jamaa dishi limeyumba, halafu kageuzwa fursa.

Anatembezwa na watu wanapiga pesa: Just like wale wanaotembeza walemavu omba omba hapa Dar
Sio chizi,msaniii ila anajichetua na ni msanii kutoka tunduma(Boarder).... Ni balozi wa CRDB,na mashirika kama 3 nadhan anashirikiana nayo,...MTU wa namna hyo mpk unakuwa baloz, na kufanya kaz na mashirika huwezi kusema chizi...ila shida inakuja pale anavyofanya mtandaoni vingi n vichekesho..na ujinga uliopitiliza ..ila uhalisia hayuko Mara nying na lengine. Elimu nadhan hayuko vzr inayopelekea kutonufaika sana na kile aanachokifanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…