kyerwa. we uko wapi? kyerwa ni wilaya Mpya iko karagwe maeneo ya kaisho. so ukishafika bukoba stendi utapanda mabasi ya karagwe ni masaa mawili mpaka karagwe omulushaka stend. ulizia magari ya kyerwa. ukikosa utapanda magari ya kaisho. mengine mbele kwa mbele