Mwenyeji wa KYERWA-KAGERA

Mwenyeji wa KYERWA-KAGERA

massiba

Member
Joined
Mar 17, 2014
Posts
11
Reaction score
0
wadau ktk ajira mpya za ualimu mwaka huu nimepangwa huko halmashauri mpya ya kyerwa-kagera.kwa aliyepangwa huko au mwenyeji wa huko anielekeze vizuri
 
kyerwa. we uko wapi? kyerwa ni wilaya Mpya iko karagwe maeneo ya kaisho. so ukishafika bukoba stendi utapanda mabasi ya karagwe ni masaa mawili mpaka karagwe omulushaka stend. ulizia magari ya kyerwa. ukikosa utapanda magari ya kaisho. mengine mbele kwa mbele
 
ni kuzuri pia kwa kuanzia kazi usiogope. wenyeji ni Wapole na wanafunzi pia. hakuna usumbawanga.
 
nilianzia kazi kyerwa mazingira ni magumu hasa ukipangwa maeneo ya mulongo lakini ukipangwa nkwenda kaisho nyaishozi ndio sehemu nzuri
 
Back
Top Bottom