Mwenyeji wangu- UDOM

Mwenyeji wangu- UDOM

shangwe shangwe

Senior Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
108
Reaction score
24
Wapendwa wadau kwa mwenyeji yeyote ktk college ya Humanity and social science pale UDOM naomba anifahamishe machache juu ya taratibu za chuo kuhusu;
1.malazi kwa wanachuo
2.mavazi kwa wanachuo(wa kike na wa kiume)
3.chakula(gharama yake)
4.Namna ya kufika huko kwa mwanachuo mwaka wa kwanza.
Asanteni sana!

1.malazi huwezi kosa, hostel nyingi n standard(utakuta kitanda na godoro na kabati la nguo)
2.vaa kwa heshima kma mtanzania
3.cafeteria zipo nyingi (bei kawaida affordable)
4.daladala nauli 400 gari zimeandikwa udom bondeni n tax 10,000/=.
NB: inategemea na unasoma course gani ndo utajua unashukia wapi. Mf.law, sociology, political sciences n.k utashukiw school of social sciences... acciunts, commerce, BAED n.k utashukia school of humanities(bondeni)
 
usivae helen
kusuka rasta
kata K
usivae majins surual tu za vitambaa
viatu vyakamba visiwe na kisigino kireeefu
 
hongera kwa kuchaguliwa udom.

me nimepita hapo 2009 hadi 2013
hostel ziko za kutosha yaani huwezi kukosa
mavazi ni kawaida ya kiheshima
chakula wastani ni 1000-1500 kwa mlo wa kawaida mf wali nyama
ukifika stand ya mkoa ukiulizia jamatini bus stand si mbali na hapo ni mwendo wa dk 5 hivi. Ukifika jamatini utaona gari za jamatini-udom bondeni panda hizo then kushuka itategemea na kozi yako maana kuna wengine social wengine humanities a.k.a bondeni
 
Shukrani sana ngoja vijana twende hapo kusaka kilicho bora
 
Back
Top Bottom