shangwe shangwe
Senior Member
- Oct 17, 2012
- 108
- 24
Trh ya kufungua trh ngapi?
usivae helen
kusuka rasta
kata K
usivae majins surual tu za vitambaa
viatu vyakamba visiwe na kisigino kireeefu
Jeans hata kwa boys haziruhusiwi???
hasa hasa kwa ile college ya education (walimu) it is forbidden. kabisa
Social Science je???
hongera kwa kuchaguliwa udom.
me nimepita hapo 2009 hadi 2013
hostel ziko za kutosha yaani huwezi kukosa
mavazi ni kawaida ya kiheshima
chakula wastani ni 1000-1500 kwa mlo wa kawaida mf wali nyama
ukifika stand ya mkoa ukiulizia jamatini bus stand si mbali na hapo ni mwendo wa dk 5 hivi. Ukifika jamatini utaona gari za jamatini-udom bondeni panda hizo then kushuka itategemea na kozi yako maana kuna wengine social wengine humanities a.k.a bondeni
usivae helen
kusuka rasta
kata K
usivae majins surual tu za vitambaa
viatu vyakamba visiwe na kisigino kireeefu
Shukrani sana ngoja vijana twende hapo kusaka kilicho bora
Social Science je???
hapo vaa uwezavyo ila usivunje sheria za nchi
Trh ya kufungua trh ngapi?
Mmmmmmh majangahasa hasa kwa ile college ya education (walimu) it is forbidden. kabisa