Ya kufurahisha wakubwa kwa kuwapamba hata kama hawapambikiKwa gharama ipi?
Vyuu vikuu tunategemea kuwe na wasomi ambao wanajua kuchambua mambo na wenye misimamo thabiti na waona mbali. Sidhani kama kuna haja hata ya kuaambia kwa sababu wao ndiyo walitakiwa kujua kuliko mtu mwingine yeyote. Wakikubali kutumika vibaya basi hasara ni yao.Akifanya mahojiano katika kipindi cha Medani za Siasa Star TV Mwenyekiti wa Chama cha Alliance for Democratic change (ADC) ametoa wito kwa Serikali kuacha kuwatumia wanafunzi na wasaanii kwenye masuala ya siasa.
View attachment 3287846
"Wasanii na wanafunzi wa vyuo vikuu acheni uchawa nyie sio wasemaji wa CCM, na CCM tuwaombe sana acheni wanafunzi wasome na wasanii wafanye kazi zao msiwafanye kuwa wasemaji wenu" SHABANI ITUTU - M/KITI - ADC.