Tetesi: Mwenyekiti Bawacha kubwaga manyanga kwa press wiki ijayo

Tetesi: Mwenyekiti Bawacha kubwaga manyanga kwa press wiki ijayo

Habari za kuaminika ni kwamba Ma dam amesha wekwa kwenye ratiba ya kutangaza kuachana na CHADEMA wiki ijayo.

Sababu ni zilezile na atatangaza ameondoka na bawacha 500.

Kazi ipo

Mitano Tena.

Kushiba na Maendeleo - CHAUMA.
 
Habari za kuaminika ni kwamba Ma dam amesha wekwa kwenye ratiba ya kutangaza kuachana na CHADEMA wiki ijayo.

Sababu ni zilezile na atatangaza ameondoka na bawacha 500.

Kazi ipo
Mwache aendeeee😂😂😂😂😂
 
Habari za kuaminika ni kwamba Ma dam amesha wekwa kwenye ratiba ya kutangaza kuachana na CHADEMA wiki ijayo.

Sababu ni zilezile na atatangaza ameondoka na bawacha 500.

Kazi ipo
Bony Yai siku yake ni lini, au yeye hayumo?
Sijamsikia Sugu, kasafiri?

Wenje; ile inawezekana ilikuwa geresha tu!

Ni kama wamejipanga kwa zamu kiustadi sana.

Siku ya Mbowe itakapowadia; hapo kazi itakuwa imekwisha. Amani itatamalaki ndani ya CHADEMA, na chama kitaimarika vyema.

Huu mchezo ni kama ulipangiliwa kwa ustadi sana.
Kwanza ilipangwa kumwondoa Mwenyekiti uwanjani, ili kazi ya kuitikisa CHADEMA ianze.
Watu wa Mbowe, wakaanza mmoja baada ya mwingine, kidogo kidogo kila wiki kutangaza kuondoka ndani ya chama, sababu zikiwa ni zile zile walizofundishwa kuzisema.

Wakati huo huo, 'Mtungi' naye kaamuka na lake, kuunga mkono madai ya hao wanao ondoka CHADEMA; na kutangaza viongozi walio teuliwa na Mwenyekiti, ambaye hayupo kutetea lolote, kuwa hawatambuliwi.

Sasa kilicho baki ni kusubiriwa Mbowe, aonyeshe/azindue wanakoelekea hawa wote, sijui itakuwa CHAUMA, au vipi.

Lakini yote kwa yote, kuondoka ndani ya chama virusi hawa ni bahati kubwa sana waliyojaliwa CHADEMA. Hawa watu wangekomalia kubaki ndani ya chama wangeleta uharibifu mkubwa sana.

Huyo mama wa BAWACHA, toka mwanzo alijitangaza yeye ni mtu wa Mbowe; kwa hiyo sasa tunaelekea ukingoni, kumfikia mwamba mwenyewe afunge hii kazi.
 
Nafuu ya mpagazi.
Ni kweli tupu.

Lakini sasa najiuliza, kwa nini walichagua njia hii, ya kujitoa nje ya chama. Ni kama wameamua kukisalimisha chama, badala ya kukiangamiza!
Rushwa kubwa sana ilitumika kuhakikisha huyu ajuza the so called mwenyekiti wa bawacha kupata kile kiti.

Mia ikiwa yeye na dalali wafanye mambo yaonekane kama yanakwenda kumbe haya eneo.
 
Simuoni kwenye mikutano.

Mimi naionea huruma Tanzania yangu Kwa kuongozwa na CCM, chama la wajinga linaoamin kununua Wapinzani, ni kuua Chama .
Kama kuna ukweli, kwamba hawa watu wamenunuliwa na CCM, hii itakuwa ni bidhaa hafifu sana ya kupotezea pesa.
Haionyeshi kuwa thamani yao inalingana na pesa iliyolipwa. Na kama ni kutegemea matokeo ya kuondoka kwao ndani ya CHADEMA, sioni kuwa kutakuwepo na mtikisiko wowote.
Hawapeleki thamani yoyote CCM, au hata kwa chama chochote watakacho jiunga nacho.
Aliyebuni mpango huu kabugi sana.
 
Rushwa kubwa sana ilitumika kuhakikisha huyu ajuza the so called mwenyekiti wa bawacha kupata kile kiti.

Mia ikiwa yeye na dalali wafanye mambo yaonekane kama yanakwenda kumbe haya eneo.
Uongo unakusaidia nini? Ni wakina nani waliotuma ujumbe kwa wapiga kura kuwa Suzan Kiwanga amesema kura zake apewe mtu wa Lissu? Ilibidi Suzan aikane jukwaani. Kwa nini usiseme kabisa kuwa Aidan alihongwa ndio maana alimtangaza Sharifa kuwa mshindi? Hamkisaidii chama chenu kwa uongo huu.

Amandla...
 
Back
Top Bottom