PreGE2025 Mwenyekiti BAWACHA Mwanza: Uchaguzi ukiwa huru, CHADEMA tunachukua nchi

PreGE2025 Mwenyekiti BAWACHA Mwanza: Uchaguzi ukiwa huru, CHADEMA tunachukua nchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Wakuu

CHADEMA inaonekana kama wako serious sana na huu Uchaguzi


Msikilize hapa Mwenyekiti wa BAWACHA Mwanza Hosiana Kusiga:

Safu ya uongozi kwa Chama chetu imeshakamilika na tuna uhakika kama uchaguzi mkuu utafanyika kwa uhuru na haki basi CHADEMA tunachukua nchi na ndio maana tunasema (No reform no Election)"

 
Back
Top Bottom