Hahahah sijui kwanini nimechekaMwenyekiti BAZECHA - James Haule alipoulizwa kuhusu busara itumike kuponya majeraha CHADEMA, Haule wamesema;
BAZECHA ndio wenye wajibu wa kuponya majeraha chamani, nataka niwathibitishie tulishakaa na Mbowe, Lissu pamoja na Mnyika, kwakuwa watu walidhani wamekanyagana tulitoa nafasi ya watu waje kujieleza juu ya kukanyagana kwao, lakini hakuna aliyejitokeza matokeo yake tumesikia tu mtu ameshuka kwenye basi, haijulikani anakwenda wapi. Kwahiyo tunasubiria na sisi tunaendelea kufanya kazi na nnataka niwahakikishe baada ya BAZECHA kuchunguza - chama kipo imara kuliko wakati mwingine wowote, habari inatema uchafu acha bahari iwe safi.
Hivyo nitoe wito kwamba anayeshuka kwenye gari amefika safari yake sababu safari ni siasa na ina mwendo mrefu na watu watachoka njiani, na kuna watu wengine watafika mahala wataamua kushuka na kubaki hapo hapo waliposhukia. Pengine hata nchi ya ahadi wanayotaka kwenda, wasifike. Kwahiyo tunawapa mkono wa safari njema huko waendako, CHADEMA tuko salama tunaendelea kupiga mwendo.
Hivi Tangu 2020 bado lilikuwa halijazama?MNAFARIJIANA WAKATI JAHAZI LINAZAMA , MWAKANI MJE TENA HAPA MSEME KAMA MKO BADO IMARA
MNAFARIJIANA WAKATI JAHAZI LINAZAMA , MWAKANI MJE TENA HAPA MSEME KAMA MKO BADO IMARA
😀😀Fisi endelea kusubiria mkono wa binadamu uanguke!! CHADEMA inazidi kuwa safi na imara, inaporusha mikono na miguu kama namna ya kujiimarusha, wewe unaona ndiyo inakata roho, uokote mzoga!! Pole sana kwa kunyimwa ability to see tomorrow.
Porojo za kujifariji 😁😁Mwenyekiti BAZECHA - James Haule alipoulizwa kuhusu busara itumike kuponya majeraha CHADEMA, Haule wamesema;
BAZECHA ndio wenye wajibu wa kuponya majeraha chamani, nataka niwathibitishie tulishakaa na Mbowe, Lissu pamoja na Mnyika, kwakuwa watu walidhani wamekanyagana tulitoa nafasi ya watu waje kujieleza juu ya kukanyagana kwao, lakini hakuna aliyejitokeza matokeo yake tumesikia tu mtu ameshuka kwenye basi, haijulikani anakwenda wapi. Kwahiyo tunasubiria na sisi tunaendelea kufanya kazi na nnataka niwahakikishe baada ya BAZECHA kuchunguza - chama kipo imara kuliko wakati mwingine wowote, habari inatema uchafu acha bahari iwe safi.
Hivyo nitoe wito kwamba anayeshuka kwenye gari amefika safari yake sababu safari ni siasa na ina mwendo mrefu na watu watachoka njiani, na kuna watu wengine watafika mahala wataamua kushuka na kubaki hapo hapo waliposhukia. Pengine hata nchi ya ahadi wanayotaka kwenda, wasifike. Kwahiyo tunawapa mkono wa safari njema huko waendako, CHADEMA tuko salama tunaendelea kupiga mwendo.
Fisi anaposubiri Mkono wa binadamu udondoke apate kitoweo😀😀
matumaini hewa kwa mgonjwa asiewezekana kupona hua ni unafiki wa kilofa sana aise, dah !🐒Mwenyekiti BAZECHA - James Haule alipoulizwa kuhusu busara itumike kuponya majeraha CHADEMA, Haule wamesema;
BAZECHA ndio wenye wajibu wa kuponya majeraha chamani, nataka niwathibitishie tulishakaa na Mbowe, Lissu pamoja na Mnyika, kwakuwa watu walidhani wamekanyagana tulitoa nafasi ya watu waje kujieleza juu ya kukanyagana kwao, lakini hakuna aliyejitokeza matokeo yake tumesikia tu mtu ameshuka kwenye basi, haijulikani anakwenda wapi. Kwahiyo tunasubiria na sisi tunaendelea kufanya kazi na nnataka niwahakikishe baada ya BAZECHA kuchunguza - chama kipo imara kuliko wakati mwingine wowote, habari inatema uchafu acha bahari iwe safi.
Hivyo nitoe wito kwamba anayeshuka kwenye gari amefika safari yake sababu safari ni siasa na ina mwendo mrefu na watu watachoka njiani, na kuna watu wengine watafika mahala wataamua kushuka na kubaki hapo hapo waliposhukia. Pengine hata nchi ya ahadi wanayotaka kwenda, wasifike. Kwahiyo tunawapa mkono wa safari njema huko waendako, CHADEMA tuko salama tunaendelea kupiga mwendo.
Takataka zote peleka hukooooo CCM, ACT na CHAUMA.Mwenyekiti BAZECHA - James Haule alipoulizwa kuhusu busara itumike kuponya majeraha CHADEMA, Haule wamesema;
BAZECHA ndio wenye wajibu wa kuponya majeraha chamani, nataka niwathibitishie tulishakaa na Mbowe, Lissu pamoja na Mnyika, kwakuwa watu walidhani wamekanyagana tulitoa nafasi ya watu waje kujieleza juu ya kukanyagana kwao, lakini hakuna aliyejitokeza matokeo yake tumesikia tu mtu ameshuka kwenye basi, haijulikani anakwenda wapi. Kwahiyo tunasubiria na sisi tunaendelea kufanya kazi na nnataka niwahakikishe baada ya BAZECHA kuchunguza - chama kipo imara kuliko wakati mwingine wowote, habari inatema uchafu acha bahari iwe safi.
Hivyo nitoe wito kwamba anayeshuka kwenye gari amefika safari yake sababu safari ni siasa na ina mwendo mrefu na watu watachoka njiani, na kuna watu wengine watafika mahala wataamua kushuka na kubaki hapo hapo waliposhukia. Pengine hata nchi ya ahadi wanayotaka kwenda, wasifike. Kwahiyo tunawapa mkono wa safari njema huko waendako, CHADEMA tuko salama tunaendelea kupiga mwendo.
akina mbatia walisema hivihivi wakati wanamtimua lyatonga mrema kule raskazone, tena mrema alipigwa na stuli akiwa high table. leo nccr haiwezi shinda hata ukiranja wa bweniMwenyekiti BAZECHA - James Haule alipoulizwa kuhusu busara itumike kuponya majeraha CHADEMA, Haule wamesema;
BAZECHA ndio wenye wajibu wa kuponya majeraha chamani, nataka niwathibitishie tulishakaa na Mbowe, Lissu pamoja na Mnyika, kwakuwa watu walidhani wamekanyagana tulitoa nafasi ya watu waje kujieleza juu ya kukanyagana kwao, lakini hakuna aliyejitokeza matokeo yake tumesikia tu mtu ameshuka kwenye basi, haijulikani anakwenda wapi. Kwahiyo tunasubiria na sisi tunaendelea kufanya kazi na nnataka niwahakikishe baada ya BAZECHA kuchunguza - chama kipo imara kuliko wakati mwingine wowote, habari inatema uchafu acha bahari iwe safi.
Hivyo nitoe wito kwamba anayeshuka kwenye gari amefika safari yake sababu safari ni siasa na ina mwendo mrefu na watu watachoka njiani, na kuna watu wengine watafika mahala wataamua kushuka na kubaki hapo hapo waliposhukia. Pengine hata nchi ya ahadi wanayotaka kwenda, wasifike. Kwahiyo tunawapa mkono wa safari njema huko waendako, CHADEMA tuko salama tunaendelea kupiga mwendo.
FactMwenyekiti BAZECHA - James Haule alipoulizwa kuhusu busara itumike kuponya majeraha CHADEMA, Haule wamesema;