PreGE2025 Mwenyekiti BAZECHA: Rais Samia aeleze kwanini Watanzania wananyanyasika katika ardhi yao, aeleze hatua alizochukua kulinda haki

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Cute Wife

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
3,054
Reaction score
8,449
BAZECHA Pwani wanaongea na Waandishi wa Habari

Mwenyekiti BAZECHA - James Haule

Ni kwa mara ya kwanza Kanda ya Pwani kuongea na waandishi wa Habari, tumekuwa tukifatilia kwa ukaribu mazingira halisi yaliyopelekea cnhi yetu kufikia siasa za kikatili ambazo zinaendeshwa na serikali ya CCM.

Wazee wa BAZECHA wanaalni vikali sana hatua zote zilizojitokeza katika kuharibu mahusiano ya watanzania, upendo na haki pamoja na uhuru wa watanzania. Hatukutarajia kisiwa cha amani kuwa sehemu ya ukatili, kutozingatia utu, viongozi wa serikali wanaona ni jambo la kawaida kufanya ukatili kwa raia wema. Wahanga wakubwa ni viongozi, na wananchama wa CHADEMA.

Kutokana na yanayoelendelea BAZECHA tumeamua tutoke hadharani na kukemea vikali dhidi ya ukatili, ukandamizaji, dhulma ya haki na damu za wanachadema ili vitendo hivi visiendelee katika nchi yetu.

CHADEMA kupitia BAZECHA tunatoa wito kwa Rais Samia kutoka hadharani kwakuwa yeye ndio mfariji wa taifa kulieleza taifa kwanini watanzania wananyanyasika katika ardhi yao na amechukua hatua gani ili kulinda haki uhuru na demokrasia katika taifa la Tanzania. BAZECHA hatutasita kukemea pale tunapoona hali ya taifa inatetereka.

​
Mei 19, 2025 BAZECHA linawaagiza, linawaomba wananchi wote wapenda demokrasia, wapenda haki, wenye shauku ya kumuona Lissu ambao wamekuwa wanapata changamoto ya kumuona Lissu Ukonga wafike Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kusikiliza kesi hiyo inayomkabidili.

BAZECHA tumebaini viongozi wetu wa chama wanaendelea kusumbuliwa na serikali, wananyanyaswa katika kutekeleza majukumu yao, hivyo BAZECHA inaitaka serikali, Rais Samia kuacha mara moja kushambulia viongozi wa CHADEMA.

BAZECHA linamtaka Rais kuchukua hatua dhidi ya matukio yote ambayo yako kinyume na Katiba pamoja na sheria za nchi.

BAZECHA inawapongeza viongozi wa sasa wa chama nchi nzima kwa kuendelea kukisimamia chama na kuendesha operation ya No Reforms No Election, BAZECHA tunakubaliana na mpango wa chama na tunawabariki waendelee hivyo hivyo na kuongeza bidii katika kudai mabadiliko ya sheria za uchaguzi, kanuni za uchaguzi na mbadiliko yote ya haki nchini.

BAZECHA inatangaza hali inayotokea Tanzania kuhusu ukandamizaji kuwa ni shambulio dhidi ya uhuru wa watanzania, dhidi ya haki na demokrasia. Tunatoa wito na kumtaka Rais kuacha kuacha mara moja kushambulia demokrasia ya nchi yetu kwa kutumia vyombo vyake vya dola.
 
Attachments

  • 2025-05-16 13-00-39.mp4
    9.5 MB
mpaka mshakuwa kelo sasa ndani youtube mpaka wakina fisi wa simiyu wataitisha wahandishi wahabari
 
Hivi CCM wanatumia rushwa kwa faida ya nani?
Haya ya mapandikizi ya ccm yaliyopo chadema kujitoa ni matokeo ya ile kete sahihi ambayo chadema imesukuma ...kete ya kugomea uchaguzi na kuto kusahini ...ile kete ilikuwa sahihi sana maana awa wanaotoka chadema na kujifunua kuwa walikuwa upande wa maadui wa taifa na wananchi kwa ujumla ...wasinge jifunua kama siyo ile kete hivyo wanatakiwa kutoja wote chamani na chadema wachague watu wapya wenye sifa dhabiti za uzalendo...kuna yule CAG ule aondolewe chadema haraka sana ..mbowe pia ni kirusi cha hatari sana afukuzwe wala wasingoje ajitoe mwenyewe .......chademq mtimueni mbowe na watoto wake haraka sana .
 
BAZECHA Pwani wanaongea na Waandishi wa Habari

Mwenyekiti BAZECHA - James Haule

Ni kwa mara ya kwanza Kanda ya Pwani kuongea na waandishi wa Habari, tumekuwa tukifatilia kwa ukaribu mazingira halisi yaliyopelekea cnhi yetu kufikia siasa za kikatili ambazo zinaendeshwa na serikali ya CCM.

Wazee wa BAZECHA wanaalni vikali sana hatua zote zilizojitokeza katika kuharibu mahusiano ya watanzania, upendo na haki pamoja na uhuru wa watanzania. Hatukutarajia kisiwa cha amani kuwa sehemu ya ukatili, kutozingatia utu, viongozi wa serikali wanaona ni jambo la kawaida kufanya ukatili kwa raia wema. Wahanga wakubwa ni viongozi, na wananchama wa CHADEMA.

Kutokana na yanayoelendelea BAZECHA tumeamua tutoke hadharani na kukemea vikali dhidi ya ukatili, ukandamizaji, dhulma ya haki na damu za wanachadema ili vitendo hivi visiendelee katika nchi yetu.

CHADEMA kupitia BAZECHA tunatoa wito kwa Rais Samia kutoka hadharani kwakuwa yeye ndio mfariji wa taifa kulieleza taifa kwanini watanzania wananyanyasika katika ardhi yao na amechukua hatua gani ili kulinda haki uhuru na demokrasia katika taifa la Tanzania.

Huyu mzee hana akili. Hivi haoni dharau, matusi na kebehi na kiburi na lugha za hovyo zinazotumiwa na wafuasi wa Lissu majukwaani!!? Hivi mh Rais kuwaruhusu kufanya mikutano ndio malipo yake haya!!? Mbona kwa Hayati Magufuli hawakuwahi kufungua mdomo!!? Hata hao wazungu kwani hawakuwepo!!? Shida ni nini? Au dini yake ndio changamoto kwa machadema na mabwanyenye wenu!!?
 
Hili taifa ni letu sote

Tuwajibike kulijenga badala ya kulibomoa, tumpe ushauri na maoni Rais wetu badala ya kumtuhumu, na zaidi ya yote tumuombee mwenyezi Mungu aendelee kumuongoza.

Kuongoza nchi sio lelemama

Kama huamini fuatilia vile watu wanashindwa kuongoza familia zao
 
Haya ya mapandikizi ya ccm yaliyopo chadema kujitoa ni matokeo ya ile kete sahihi ambayo chadema imesukuma ...kete ya kugomea uchaguzi na kuto kusahini ...ile kete ilikuwa sahihi sana maana awa wanaotoka chadema na kujifunua kuwa walikuwa upande wa maadui wa taifa na wananchi kwa ujumla ...wasinge jifunua kama siyo ile kete hivyo wanatakiwa kutoja wote chamani na chadema wachague watu wapya wenye sifa dhabiti za uzalendo...kuna yule CAG ule aondolewe chadema haraka sana ..mbowe pia ni kirusi cha hatari sana afukuzwe wala wasingoje ajitoe mwenyewe .......chademq mtimueni mbowe na watoto wake haraka sana .
Safi sn
 
Mbowe huyo huyo ndiye mentor wa hao leo mnao waona ni lulu...Kuheni na heshima na uvumilivu wa kisiasa.Tunaenda kukaa nje ya mchezo miaka mitano,je ni faida au hasara?
 
BAZECHA Pwani wanaongea na Waandishi wa Habari

Mwenyekiti BAZECHA - James Haule

Ni kwa mara ya kwanza Kanda ya Pwani kuongea na waandishi wa Habari, tumekuwa tukifatilia kwa ukaribu mazingira halisi yaliyopelekea cnhi yetu kufikia siasa za kikatili ambazo zinaendeshwa na serikali ya CCM.

Wazee wa BAZECHA wanaalni vikali sana hatua zote zilizojitokeza katika kuharibu mahusiano ya watanzania, upendo na haki pamoja na uhuru wa watanzania. Hatukutarajia kisiwa cha amani kuwa sehemu ya ukatili, kutozingatia utu, viongozi wa serikali wanaona ni jambo la kawaida kufanya ukatili kwa raia wema. Wahanga wakubwa ni viongozi, na wananchama wa CHADEMA.

Kutokana na yanayoelendelea BAZECHA tumeamua tutoke hadharani na kukemea vikali dhidi ya ukatili, ukandamizaji, dhulma ya haki na damu za wanachadema ili vitendo hivi visiendelee katika nchi yetu.

CHADEMA kupitia BAZECHA tunatoa wito kwa Rais Samia kutoka hadharani kwakuwa yeye ndio mfariji wa taifa kulieleza taifa kwanini watanzania wananyanyasika katika ardhi yao na amechukua hatua gani ili kulinda haki uhuru na demokrasia katika taifa la Tanzania.

HUYU NAYE SIJUI KALA MAHARAGE YA WAPI ANAJAMBAJAMBA TU HAPO HANA HOJA KABISAAA
 
Hii kesi ya mchongo ya uhaini yenye hukumu ya kunyongwa kwa kamba hadi kufa mwenyekiti wa taifa chama kikuu cha upinzani CHADEMA Tundu Antipas Lissu , inawapa wakati mgumu sana watawala wa chama dola kongwe na serikali yake.
 
BAZECHA Pwani wanaongea na Waandishi wa Habari

Mwenyekiti BAZECHA - James Haule

Ni kwa mara ya kwanza Kanda ya Pwani kuongea na waandishi wa Habari, tumekuwa tukifatilia kwa ukaribu mazingira halisi yaliyopelekea cnhi yetu kufikia siasa za kikatili ambazo zinaendeshwa na serikali ya CCM.

Wazee wa BAZECHA wanaalni vikali sana hatua zote zilizojitokeza katika kuharibu mahusiano ya watanzania, upendo na haki pamoja na uhuru wa watanzania. Hatukutarajia kisiwa cha amani kuwa sehemu ya ukatili, kutozingatia utu, viongozi wa serikali wanaona ni jambo la kawaida kufanya ukatili kwa raia wema. Wahanga wakubwa ni viongozi, na wananchama wa CHADEMA.

Kutokana na yanayoelendelea BAZECHA tumeamua tutoke hadharani na kukemea vikali dhidi ya ukatili, ukandamizaji, dhulma ya haki na damu za wanachadema ili vitendo hivi visiendelee katika nchi yetu.

CHADEMA kupitia BAZECHA tunatoa wito kwa Rais Samia kutoka hadharani kwakuwa yeye ndio mfariji wa taifa kulieleza taifa kwanini watanzania wananyanyasika katika ardhi yao na amechukua hatua gani ili kulinda haki uhuru na demokrasia katika taifa la Tanzania.

Naona Wazee wa BAZECHA wamerumwa kutuliza joto la G55! Ahahahahaha!!!
 
Back
Top Bottom