Tuendelee tu kushupaza FUVU.BAZECHA Pwani wanaongea na Waandishi wa Habari
Haya ya mapandikizi ya ccm yaliyopo chadema kujitoa ni matokeo ya ile kete sahihi ambayo chadema imesukuma ...kete ya kugomea uchaguzi na kuto kusahini ...ile kete ilikuwa sahihi sana maana awa wanaotoka chadema na kujifunua kuwa walikuwa upande wa maadui wa taifa na wananchi kwa ujumla ...wasinge jifunua kama siyo ile kete hivyo wanatakiwa kutoja wote chamani na chadema wachague watu wapya wenye sifa dhabiti za uzalendo...kuna yule CAG ule aondolewe chadema haraka sana ..mbowe pia ni kirusi cha hatari sana afukuzwe wala wasingoje ajitoe mwenyewe .......chademq mtimueni mbowe na watoto wake haraka sana .Hivi CCM wanatumia rushwa kwa faida ya nani?
Huyu mzee hana akili. Hivi haoni dharau, matusi na kebehi na kiburi na lugha za hovyo zinazotumiwa na wafuasi wa Lissu majukwaani!!? Hivi mh Rais kuwaruhusu kufanya mikutano ndio malipo yake haya!!? Mbona kwa Hayati Magufuli hawakuwahi kufungua mdomo!!? Hata hao wazungu kwani hawakuwepo!!? Shida ni nini? Au dini yake ndio changamoto kwa machadema na mabwanyenye wenu!!?BAZECHA Pwani wanaongea na Waandishi wa Habari
Mwenyekiti BAZECHA - James Haule
Ni kwa mara ya kwanza Kanda ya Pwani kuongea na waandishi wa Habari, tumekuwa tukifatilia kwa ukaribu mazingira halisi yaliyopelekea cnhi yetu kufikia siasa za kikatili ambazo zinaendeshwa na serikali ya CCM.
Wazee wa BAZECHA wanaalni vikali sana hatua zote zilizojitokeza katika kuharibu mahusiano ya watanzania, upendo na haki pamoja na uhuru wa watanzania. Hatukutarajia kisiwa cha amani kuwa sehemu ya ukatili, kutozingatia utu, viongozi wa serikali wanaona ni jambo la kawaida kufanya ukatili kwa raia wema. Wahanga wakubwa ni viongozi, na wananchama wa CHADEMA.
Kutokana na yanayoelendelea BAZECHA tumeamua tutoke hadharani na kukemea vikali dhidi ya ukatili, ukandamizaji, dhulma ya haki na damu za wanachadema ili vitendo hivi visiendelee katika nchi yetu.
CHADEMA kupitia BAZECHA tunatoa wito kwa Rais Samia kutoka hadharani kwakuwa yeye ndio mfariji wa taifa kulieleza taifa kwanini watanzania wananyanyasika katika ardhi yao na amechukua hatua gani ili kulinda haki uhuru na demokrasia katika taifa la Tanzania.
Safi snHaya ya mapandikizi ya ccm yaliyopo chadema kujitoa ni matokeo ya ile kete sahihi ambayo chadema imesukuma ...kete ya kugomea uchaguzi na kuto kusahini ...ile kete ilikuwa sahihi sana maana awa wanaotoka chadema na kujifunua kuwa walikuwa upande wa maadui wa taifa na wananchi kwa ujumla ...wasinge jifunua kama siyo ile kete hivyo wanatakiwa kutoja wote chamani na chadema wachague watu wapya wenye sifa dhabiti za uzalendo...kuna yule CAG ule aondolewe chadema haraka sana ..mbowe pia ni kirusi cha hatari sana afukuzwe wala wasingoje ajitoe mwenyewe .......chademq mtimueni mbowe na watoto wake haraka sana .
Mbowe huyo huyo ndiye mentor wa hao leo mnao waona ni lulu...Kuheni na heshima na uvumilivu wa kisiasa.Tunaenda kukaa nje ya mchezo miaka mitano,je ni faida au hasara?Haya ya mapandikizi ya ccm yaliyopo chadema kujitoa ni matokeo ya ile kete sahihi ambayo chadema imesukuma ...kete ya kugomea uchaguzi na kuto kusahini ...ile kete ilikuwa sahihi sana maana awa wanaotoka chadema na kujifunua kuwa walikuwa upande wa maadui wa taifa na wananchi kwa ujumla ...wasinge jifunua kama siyo ile kete hivyo wanatakiwa kutoja wote chamani na chadema wachague watu wapya wenye sifa dhabiti za uzalendo...kuna yule CAG ule aondolewe chadema haraka sana ..mbowe pia ni kirusi cha hatari sana afukuzwe wala wasingoje ajitoe mwenyewe .......chademq mtimueni mbowe na watoto wake haraka sana .
Wahandishi?!!aaghmpaka mshakuwa kelo sasa ndani youtube mpaka wakina fisi wa simiyu wataitisha wahandishi wahabari
HUYU NAYE SIJUI KALA MAHARAGE YA WAPI ANAJAMBAJAMBA TU HAPO HANA HOJA KABISAAABAZECHA Pwani wanaongea na Waandishi wa Habari
Mwenyekiti BAZECHA - James Haule
Ni kwa mara ya kwanza Kanda ya Pwani kuongea na waandishi wa Habari, tumekuwa tukifatilia kwa ukaribu mazingira halisi yaliyopelekea cnhi yetu kufikia siasa za kikatili ambazo zinaendeshwa na serikali ya CCM.
Wazee wa BAZECHA wanaalni vikali sana hatua zote zilizojitokeza katika kuharibu mahusiano ya watanzania, upendo na haki pamoja na uhuru wa watanzania. Hatukutarajia kisiwa cha amani kuwa sehemu ya ukatili, kutozingatia utu, viongozi wa serikali wanaona ni jambo la kawaida kufanya ukatili kwa raia wema. Wahanga wakubwa ni viongozi, na wananchama wa CHADEMA.
Kutokana na yanayoelendelea BAZECHA tumeamua tutoke hadharani na kukemea vikali dhidi ya ukatili, ukandamizaji, dhulma ya haki na damu za wanachadema ili vitendo hivi visiendelee katika nchi yetu.
CHADEMA kupitia BAZECHA tunatoa wito kwa Rais Samia kutoka hadharani kwakuwa yeye ndio mfariji wa taifa kulieleza taifa kwanini watanzania wananyanyasika katika ardhi yao na amechukua hatua gani ili kulinda haki uhuru na demokrasia katika taifa la Tanzania.
Naona Wazee wa BAZECHA wamerumwa kutuliza joto la G55! Ahahahahaha!!!BAZECHA Pwani wanaongea na Waandishi wa Habari
Mwenyekiti BAZECHA - James Haule
Ni kwa mara ya kwanza Kanda ya Pwani kuongea na waandishi wa Habari, tumekuwa tukifatilia kwa ukaribu mazingira halisi yaliyopelekea cnhi yetu kufikia siasa za kikatili ambazo zinaendeshwa na serikali ya CCM.
Wazee wa BAZECHA wanaalni vikali sana hatua zote zilizojitokeza katika kuharibu mahusiano ya watanzania, upendo na haki pamoja na uhuru wa watanzania. Hatukutarajia kisiwa cha amani kuwa sehemu ya ukatili, kutozingatia utu, viongozi wa serikali wanaona ni jambo la kawaida kufanya ukatili kwa raia wema. Wahanga wakubwa ni viongozi, na wananchama wa CHADEMA.
Kutokana na yanayoelendelea BAZECHA tumeamua tutoke hadharani na kukemea vikali dhidi ya ukatili, ukandamizaji, dhulma ya haki na damu za wanachadema ili vitendo hivi visiendelee katika nchi yetu.
CHADEMA kupitia BAZECHA tunatoa wito kwa Rais Samia kutoka hadharani kwakuwa yeye ndio mfariji wa taifa kulieleza taifa kwanini watanzania wananyanyasika katika ardhi yao na amechukua hatua gani ili kulinda haki uhuru na demokrasia katika taifa la Tanzania.
Wewe unajua nani anapokea hiyo rushwa toka kwa CCM?Hivi CCM wanatumia rushwa kwa faida ya nani?
Giza likizidi sana, kunakaribia kupambazukaMambo yameharibika Tanzania