Tetesi: Mwenyekiti CCM meru ahamia CHADEMA

Tetesi: Mwenyekiti CCM meru ahamia CHADEMA

Breaking news:

Mwenyekiti wa ccm Meru na katibu mwenezi wake wahamia chadema Leo.
Afisa habari wa chadema mh Ndonde amefika kuwapokea makada hao wa ccm
Tusiwaamini sana hawa watu.. Nadhan tukijenge chama chetu wenyewe.. Tutapokea mapandikizi halafu badae tutaanza kushangaa punde wakirudi CCM.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Breaking news:

Mwenyekiti wa ccm Meru na katibu mwenezi wake wahamia chadema Leo.
Afisa habari wa chadema mh Ndonde amefika kuwapokea makada hao wa ccm
Hii michezo ya hama hama hii hata siielewi
mara huyu katoka huku kaenda kule mara yule katoka kule kaja huku yani mambo ni vululu vululu
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom